HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Mvaa pedo huyoUmeandika mashudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvaa pedo huyoUmeandika mashudu
Kaka twende taratibu kidogo!!!!Kwani maoni ya bakwata sheria????Afu ushawahi kuingiaga ndani ya kasino ukakuta makazi ya mashoga????Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti !!!UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
sadaka za msikitini kanisani?Wanadhani sadaka zinatoka wapi
nawe kafungue mashitaka nani kakuzuiya wabongo bhanaHawa watakua wamejitoa ufahamu tu..hivi haya makasino huwa kuna kelele kweli??Unaweza usijue hata kama kuna watu wanakula gambe ndani....
Hiyo mikelele ya vipaza sauti vipi??Pamoja na bar zilivojishoelea mtaani??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ndio maana takwimu ya sensa imesema wanaume ni wachache sana,sasa wewe kama unaona vipaza sauti vinakukela kwanini usiende kwenye ofisi inayohusika na uchafuzi wa mazingila?kuliko kumchukia mtu alietoa isia zake? kweli wewe mwanaume demu?Hakujiamulia kujenga hiyo casino hapo.
Alifuata taratibu zote kutoka kwenye mamlaka husika mpaka akapewa kibali cha kufungua iyo casino. Wafuasi wa marehemu mudi mnajikuta mna akili Kuliko mamlaka. Mbona nyie mnatupigia kelele kila saa huku mitaani kuanzia saa 11 alfajiri
Uchandoa waoMmeanza midomo yenu,Kazi kuchongoa midomo km kasuku.Mbona kuna ujinga mwingi unaendelea huko Kwenye Uislamu na hatusemi?.
hata mimi na shangaa ndio maana ss waisilamu tunaichukia bakwata tatizo kujipendekezaUnazungumzia casino hiyo tu yenye tetesi za kuleta fujo kwa wastaafu au zote zilizopo Tanzania?
Uharamu wa kitu si kwa sababu wewe hukipendi, bali kwa vile kimekatazwa kisheria au kwa imani yako.
Kaka twende taratibu kidogo!!!!Kwani maoni ya bakwata sheria????Afu ushawahi kuingiaga ndani ya kasino ukakuta makazi ya mashoga????
hata mimi na shangaa ndio maana ss waisilamu tunaichukia bakwata tatizo kujipendekeza
sema si domo unalo? kwani siri makanisa yamekuwa kelo kwenye jamii kutwa kucha vilio miziki watu majirani hatulali kwani huyo mungu wenu yesu alie enda jando mkililia kwa sauti ya chini hawezi sikia au hana masikio?heti heti kuna ujinga huko misikitini sema tuone ukiweza weka na picha msheziweMmeanza midomo yenu,Kazi kuchongoa midomo km kasuku.Mbona kuna ujinga mwingi unaendelea huko Kwenye Uislamu na hatusemi?.
SIO MASHOGA [emoji304] TU HUMO NDANI KUNA KILA AINA YA LAANA KUNA MASHOGA [emoji304] NA VYUMBA SPECIAL VYA KWENDA KUFANYA TENDO NA SHOGA [emoji304] UKIHITAJI KUNA WADADA WAPO UCHI KABSA WA KILA TAIFA NA VYUMBA VYA KWENDA KUFANYA TENDO
USHOGA [emoji304] HAUWEZI KUISHA NCHI HII NA KAMA MTAENDELEA KUTETEA HIVI UPINDE WA MVUA [emoji304] NA WENGINE WANATETEA BILA KUJUA CHOCHOTE YAANI 0-BRAIN AKIMUONA MTU KAKOMENT KAPATA LIKE NAE ANATAKA APATE LIKE KWA KUKOMENT UJINGA BILA KUFIKIRIA
[emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] HONGERENI MASHOGA WA JF
NA NILIVYOFIKIRIA HUMU JF KUNA WATU WENYE UELEWA MKUBWA SIKUDHANI KAMA WATASAPOTI HIVI USHOKA [emoji304]
NILITEGEMEA KUONA COMMENT KAMA- TUNAWAUNGA MKONO BAKWATA SASA TUNAUNGANA NA NINYI TUFUNGIE KILA CASINO TANZANIA TUKOMESHE UFUSKA USHOGA [emoji304] USAGAJI UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UOVU WOTE IKIWEPO KAMARI
SASA UNAKUTA COMMENT ZA USHOGA [emoji304] NA ZA KUSAPOTI UPINDE WA MVUA [emoji304] BILA WENYEWE KUJIJUA
Upo sahii kaka hata misikiti imekua kero majirani hatulali!!!Kwani huyo mungu wenu allah bila vipaza sauti hawezi kuwasikia?????Upo sahii kaka nakuunga mkono hoja yakosema si domo unalo? kwani siri makanisa yamekuwa kelo kwenye jamii kutwa kucha vilio miziki watu majirani hatulali kwani huyo mungu wenu yesu alie enda jando mkililia kwa sauti ya chini hawezi sikia au hana masikio?heti heti kuna ujinga huko misikitini sema tuone ukiweza weka na picha msheziwe
Kasino ipi mdogo wangu uliingia???Nitajie jina
Ndiyo hiyo pub iko ufipa StAkili kichwani kwako mkuu, nenda hapo Kwa dida kinondoni ndio utajua ushoga na makasino vinaendana vipi? Dida hapo kinondoni ana kipub tu wanajaa mashoga kama 200 Na maboss wa kununua hao mashoga kama 100 hivi, sasa hicho kipub tu cha dida huko kasino inakuaje?
Sijaona mahali popote BAKWATA wamekataza ila wameonyesha wako "concerned".
Kama mwenye Casino kwa utashi wake na busara zake ataona ipo haja kutafuta eneo jingine hewala, kama ataona lazima afanyie hapohapo basi watu watafungua vitabu vya sheria nchini waone kama kuweka Casino katika maeneo hayo ni sawasawa kwa mujibu wa sheria na mipango miji!.
Hiyo Casino imewekwa hapo strategically kuvutia familia za viongozi na watu wakubwa, once hao watu wakishaingia ktk michezo ya gambling wakawa addicted, ni rahisi kuconnect ties na mamafia wa dunia,na kuingiza influence zao serikalini kupitia watu hao!.
Acha kutishia uhuru wa watu humu kijana. Acha kabisa.SIO MASHOGA [emoji304] TU HUMO NDANI KUNA KILA AINA YA LAANA KUNA MASHOGA [emoji304] NA VYUMBA SPECIAL VYA KWENDA KUFANYA TENDO NA SHOGA [emoji304] UKIHITAJI KUNA WADADA WAPO UCHI KABSA WA KILA TAIFA NA VYUMBA VYA KWENDA KUFANYA TENDO
USHOGA [emoji304] HAUWEZI KUISHA NCHI HII NA KAMA MTAENDELEA KUTETEA HIVI UPINDE WA MVUA [emoji304] NA WENGINE WANATETEA BILA KUJUA CHOCHOTE YAANI 0-BRAIN AKIMUONA MTU KAKOMENT KAPATA LIKE NAE ANATAKA APATE LIKE KWA KUKOMENT UJINGA BILA KUFIKIRIA
[emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] HONGERENI MASHOGA WA JF
NA NILIVYOFIKIRIA HUMU JF KUNA WATU WENYE UELEWA MKUBWA SIKUDHANI KAMA WATASAPOTI HIVI USHOKA [emoji304]
NILITEGEMEA KUONA COMMENT KAMA- TUNAWAUNGA MKONO BAKWATA SASA TUNAUNGANA NA NINYI TUFUNGIE KILA CASINO TANZANIA TUKOMESHE UFUSKA USHOGA [emoji304] USAGAJI UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UOVU WOTE IKIWEPO KAMARI
SASA UNAKUTA COMMENT ZA USHOGA [emoji304] NA ZA KUSAPOTI UPINDE WA MVUA [emoji304] BILA WENYEWE KUJIJUA