Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

Balile mhariri gani hajui figurative language? Hajui freedom of expression? Mhariri anafanya censorship?

Halafu anaingiza ad hominem attacks na strawman logical fallacy za upinde za nini?

Is this the best he can do?

Huyu ndiye mhariri kweli kabisa?
 
Kipanya amekosea sana, toilet paper ina umhimu na manufaa kuishushia hadhi mpaka kiasi cha kuivunjia hadhi kuilinganisha na hao ngiri wasiojitambua amedharau umuhimu wa toilet paper, hao chawa wachumia tumbo ambao wanapamba na kukoleza wananchi wazidi kukandamizwa, kudhalilishwa, kutekwa, kulawitiwa na kuuawa yaani hata kuwalinganisha na mavi ni kuyakosea mavi.
 
BALILE ni chawa asiyejielewa, chawa muandamizi.
 
Tulia dawa iingie Balile mlamba asali
 
Huyu balile sio ndio alikuwa ana mfanyia figisu warioba pale TBC aondeke , alafu yy eti ndio achaguliwe.
Huyu balile ni MTU hatari sana kufanya nae KAZI kwenye idara moja. Huyu mshezi ana tamaa sana na pesa
 
Usimwone kavimba vishavu ukadhani ni bure. Mashavu hayo yamejaa yalivyo kwa hisani ya Samia na GENGE lake.
Ataachaje huyu kuangusa na kufuta uchafu wa mfadhili wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ