CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Hili bumunda Balile ni hovyo kabisaNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Balile ni tapeli haswa
Hili jamaa lijinga sanaNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Kwa nini aichukulie negative? Asione ni kitu kizuri kinachosafisha πππ. Zile taka na kukuacha safiToilet paper kwa Kiswahili ni karatasi ya kuchambia
Kipanya atiwe mbatoni πΌ
Balile mwwnyewe ni toilet paperwaache kutumika kama toilet paper
Kuonyesha jinsi alivyo mtuu kichwani; eti anatoa na vitisho vya 'kuwachunguza" wanaojitambua!Mbona kama amepanik, basi kutakuwa na ukweli hapo
π π€£Kuonyesha jinsi alivyo mtuu kichwani; eti anatoa na vitisho vya 'kuwachunguza" wanaojitambua!
Ndio maana!Huyu Balile Taperi tu, Huyu Mkewe ni Ras kwenye Utawala huu Unategemea Nini Ataongea/ Balile ni Chawa Zee
Kipindi watu wanatekwa sana wao wakawa wanakuja na habari tofauti kabisa kama gazeti sio la Tanzania unabakia kushangaa tu.Tena haya mahojiano
Yaliyofanywa na jambo TV na father kitima
Lazima watatumiwa ujumbe π
Ova
Mshamba sana huyu jamaa!Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
asante sana. Kipanya alileta TUNGO TATA, sasa balile ametafsiri alivyoelewa....TUNGO TATAKimsingi Balile kapaniki na paniki yake ingeleta positive impacts kama waandishi wa habari na wamiliki wa hizi media angalau kwa asilimia 25% wangekuwa huru maana ameipa "air time" hiyo katuni imewafikia wengi; wenye akili kama zake na wenye "akili zao"
Kwa kuipata hiyo air time tu, wangeweza kujitafakari kwa kujiuliza nini mchora katuni alikusudia?
1. Alikusudia kufikisha ujumbe alioutafsiri (uelewa) Balile au Balile yeye kaamua kujipa tafsiri yake na kuiamini?
2. Alimaanisha hizi media zinatumika kusafisha uovu (uchafu) wa watu kwenye jamii? Yaani watu wanafanya uchafu wao bila hofu kwasababu wanajua kuna mahali "kisafishio" kipo na kitawasafishia uchafu wao bila wasiwasi?
3. Je, ni kweli wapo watu wanazitazama media kama "kisafishio" kwao?
4. Je, media kukubali kutumika kama "kisafishio" nani kamdharau mwenzake, media iliyokubali kutumika au aliyeomba kujisafisha?
5. Mchora katuni amelenga kutahadharisha media au amelenga kudhihaki media?
Ukijiuliza maswali kama hayo na mengine mengi unajikuta hauna sababu ya kupaniki kwasababu msanii kaleta sanaa yake na kila mmoja anatafsiri yake na hauna sababu ya kujifanya wewe ndo umeelewa zaidi
Hata hivyo, kupaniki kwake ni kama anataka kuonekana na watu fulani sehemu fulani kwa malengo fulani. Mimi nimemuelewa hivi
Ccm ni ππ©π© na media ndiyo toilet paper π§»π§» police ni toilet π½π½Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka