Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

Ujumbe mzuri ipo haja serikali nayo kuongeza nguvu kuzisaidia kaya maskini!
 
Big up Taufiq hatimae umerudi shule
 
hii ndo nguvu ya sosho media. ni ajabu mjinga mmoja alitaka kuzifuta. dogo ameshauza sura. kesho utaskia anapiga indavyuu bibisii huko.
 
Kwahyo RC wa Tabora ndio msemaji wa RC Mtwara
 
..sidhani kama Dr.Batilda alikuwa na nakala ya barua ya mtoto aliyeacha shule kabla hajatoa kauli kuhusu mtoto huyo.

..Form 1 lakini anaandika kwa kiwango cha chini sana.

..huyo mwanafunzi tatizo lake sio muandiko tu, bali hata kupangilia maneno, na kuandika kwa ufasaha, hawezi.
 
Sasa kusoma basii si afadhali hela ya daftari nikanunulie ndoano nivue samaki .Maana nashangaa wasomi wamerundikana mtaani hawana ajira
 
Kwamba RC wa Mtwara hakustuka Mpaka RC wa Tabora alipomstua ?

No wonder Polisi wameua Mfanya Biashara since October 2021 issue imekuja kubumbuluka Feb 2022
 
Ila dogo kwenye iyo barua kuna sehemu alisema anaenda kufanya kazi za uvuvi,hapo kumshauri na dogo kurudi shule hawaoni wamemnyima haki yake ya kuwa mvuvi,huenda ameona hao waliosoma hawana kazi na yeye njia aliyoona ni kufanya uvuvi
Mwache asome atakuwa mvuvi wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…