Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #81
Rekodi yake si iko wazi; na sidhani kama kuna Rais ambaye hajamuamini kumpa madaraka makubwa. Haya maneno mengine ni tuhuma na madai ya watu hatujui ukweli ni upi kwani sidhani kama yote yanayosemwa juu yake yangekuwa kweli angeendelea na utumishi serikalini. Suala la perfomance na strategies zake kuendesha shirika yanahojika kwani mimi nilikuwa na tatizo kubwa naye akiwa na NSSF kutokana na uendeshaji wake. Sijui kama makampuni hayo yanafanana na labda anaweza kuwa na mawazo mapya baadaya ya kuwa Malaysia kwa muda hivi.Kutokana na swali lako, unaamini balozi Dau kuwa ni mtu sahihi kuisimamia bandari?
Atafilisi Bandari.Wameifilisi nsssf hadi wanachama wamekosa mafao yao eti hadi miaka 60 ndo upewe chako sababu ya wachache kina dau na mwendazake huu ni wizi na uporaji wa haki.Mkuu Balozi Dau tena? Kule kwenye pesa za wenyewe kule sijui NSSF si aligeuza shamba la bibi au namfananisha?
Kuwa na jina la KIKRISTO ......?? Hata Shetani alikuwa MbinguniMimi ni mkristo Ila ningeulizwa Leo hii mashirika yote makubwa ningeweka watu wafuata
1. Bandari- Dr Ramadhani Dau
2. ATCL- Nehemia Mchechu
3. National Housing- Kelvin Twisa- sijui yuko wapi nowdays?
4. Tanesco- Charles Kimei
Watu bana! Kama vile hatukuwepo enzi za JK....utawala gani bora ule uliolea ufisadi wa kiwango kile hadi kufikia nchi iuzwe....as a result hata kahatua kadogo tulikokapiga kwenye utawala Bora enzi za JK ameondoka nako.
Hapa ndipo ninapoamini dini ya Haki ni uislam mbona akifanya asiyekuwa muuislam hauitwi udini. Kuna msemo usemao mti wenye matunda ndo unaotupiwa mawe.Ataboronga kama alivyofanya NSSF ukiachia mbali kuanzisha upendeleo wenye sura ya udini.
Seriously?Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Hata akiwa papa hatumtakiChuki ni kidonda mkuu, ok atawekwa askofu pengo roho yako itulie
Dau hajawahi kuwa mdini hata siku mojaHuyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Siyo kubinafsishwa, kuongozaMawazo ya kiNet group solution hatuyataki usitukumbushe machungu ya TANESCO ya awamu ya 3 na 4.
Dau ni mtu hatari sana kwa umoja wetu,ni mdini aliyepitilizaInawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Dau ni mtu hatari sana kwa umoja wetu,ni mdini aliyepitiliza
Haya kaingia taliban madarakani ngoja tuone atakavyoteua watu wa madrassaCabinet ya watu 30 Waislam watatu wakristo 27, hapa sio udini tunaangalia Utendaji kazi
NSSF Waislam 40%, Wakristo 60% hapa tunasema Waislam wanapendelewa
Tunaishukuru sana Corona kwa kutulipizia kisas
Haya kaingia taliban madarakani ngoja tuone atakavyoteua watu wa madrassa
Mbona Somalia, Afghanistan, Iraq nk mnauana wenyewe kwa wenyeweKwani kodi mnalipa peke yenu?
Kwanini mnakuwa wabinafsi kiasi hicho?
Mkipewa hayo madaraka kwanza mnakuwa Makatili sana hata kwa Wapakwa mafuta wenzenu!
Mnamtandika Risasi mwenzenu, mnamnyima stahiki zake za kutibiwa na posho zake mnazuia Gari yake mnaishikilia halafu bado mnajifanya eti mnapendana unafki mtupu
Mara zote mkishika nafasi ya Juu ya Nchi basi Ukatili na uonevu hutamalaki sana
Mbona Somalia, Afghanistan, Iraq nk mnauana wenyewe kwa wenyewe
Labda alikua anawalipa wastaafu wa upande mmoja tuu😂Sasa ikawaje chini yake nssf ilikua inalipa wastaafu kwa wkt?
Sa hivi tumeweka watakatifu huko kwny mifuko ya kijamii na matokeo yake wastaafu wanakaa mpk miaka 3 hajalipwa mafao.
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Zile ekari moja kununuliwa milioni 800 nani alikuwa kiongozi, kama hamna mwenye sifa bora ikodishwe menejimenti toka nje ikabidhiwe kuendeshaSema alishutumiwa kwa udini na alichafuliwa sana pale NSSF so inawezekana akawa na uwezo but akashutumiwa tena.
Harufu za Udi na Ubani zitatuumiza vichwa kila uchwao leo huko maofisini, jalini na afya za wengine sheikh, kuweni na huruma.