Wanya nje wana tabu sana wakisikia kapata Muislam cheo basi roho zinawauma ni wivu wa JogooThat's very ridiculous comment,
Shida yenu wagalatia akili zenu mmezijaza chuki had mnashindwa kuwa na common Sense,hilo ni shirika la umma,anaweza kiongoz akachukua pesa eti akawasomeshe ndug zake kutokana na utashi wake,
Kila shirika la umma lazima liwe linafanyiwa ukaguz kila mwaka,kwann hayo madudu unayoyasema yasiwekwe waz na yakaonekana,una elimu gan ww jamaa,au una umri gan,usikute tunachart na watoto bado mko mnaish KWA shemej zenu hapa,
Reasoning ya AJabu kabisa
haya ya udini sasa mtamalizana wenyewe huko.
Nani SASA kaacha kuyaendeleza,dau au aliefuatia baada ya Dau??
Ile ni long-term investment,ukitaka iweje sasa,kama umemuondoa na aliekuja hajaendeleza unampa lawama nani,
After all he has done a lot of things,mbona hamuvitaji badala yake mnaegemea kwenye weakness,
Hilo daraja la kigambon are you blind about that??Ameacha legacy na always legacy yake itajibeba yenyewe,
Nani alikua hiyo Nssf before Dau hajashika hatam hapo?it's a giant company na hiyo ni kutokana na utawala wake,mnabisha??
Msione vyaelea,vimeundwa...mnachojua nyinyi ni kupika chuki na majungu tuh
Don't you run away,mention ufisadi ambao kaufanya yeye kama yeye,na hatua zilizochukuliwa juu yake,
Kama hauna sisi tuna generalize kuwa ni yale yale,chuki za kuona waislam wasiwe na nafasi katika utendaji wowote ndan ya Taifa hili,
After all nyinyi mnafanya nin zaid zaid ya ufisadi tuh,ni ufisadi na kukimbilia kuungama KWA maaskofu wenu na kutoa sadaka makanisani...
Akisaidiwa na Nabii TITOBasi tumpe Mgalatia GWAJIMA. Nafikiri hii inapendeza au mnasemaje?
Huu ni mfuko ulitoa mafao duni kabisa.kwa mstaafu mwenye sifa mfanano katika ajira unaambulia nusu ya pspf au lapf.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Siyo kubinafsishwa, kuongoza
OK but sio NSSF brother, ni wale wengine binafsi nawachukia sana yaaniNimeandika miaka 3 mkuu.
Kaulize alichiofanya NSSFWatakwambia atasababisha meli badala ya kupiga honi zitakuwa zinapiga adhana
Tunawajua nyie, ndalichako alituhumiwa kama huyo lakini mlimpandisha cheoKaulize alichiofanya NSSF
Hilo daraja nalo ni swala lingine!
Kwanza pesa wanazotozwa wananchi kupita hapo ni nyingi sana .
Nani aliyetoa huo ushauri?!
Hayo ambayo unadai kuyafanya yana mambo vilevile.
Ni mfano hayo mapagale ya magorofa kama yangekamilika kwa haraka nani angefahamu yaliyofanyika?
Tumuogope Mungu!
What do you mean unaposema kuwa hilo daraja ni suala lingine,una appreciate au kwenye hilo daraja pia Dau kaweka udini hapo??
Kama unatozwa naul kubwa,anaekutoza naul hapo Dau au??...hayo magorofa aliekuja baada yake hajaendeleza unataka kumpa lawama nani?
Tumuogope mungu,una mungu unaemugopa wewe mgalatia,una mungu au majungu?
Hehe ngoja tupiganie nafasi sasaSawa sawia, ova.
Pazuri hapooooo. Hawa ndio wanafaa kuongoza nchi according to Mr fulani🤔🤔🤔🤔Akisaidiwa na Nabii TITO
[emoji23][emoji16][emoji38]
Wenyewe wamekuja bado FF!
Umeongea kwa Volume ya juu sana binafsi nimekuelewaKwani kodi mnalipa peke yenu?
Kwanini mnakuwa wabinafsi kiasi hicho?
Mkipewa hayo madaraka kwanza mnakuwa Makatili sana hata kwa Wapakwa mafuta wenzenu!
Mnamtandika Risasi mwenzenu, mnamnyima stahiki zake za kutibiwa na posho zake mnazuia Gari yake mnaishikilia halafu bado mnajifanya eti mnapendana unafki mtupu
Mara zote mkishika nafasi ya Juu ya Nchi basi Ukatili na uonevu hutamalaki sana
NSSF sasa hivi mnamalizana wenyewe kwa wenyewe, Wazawa vs Wahamiaji toka PPF
Mkuu unauhakika na unacho kinena au chuki zako tu.Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Mkuu asante, kumbe ndio maana yale madudu yooote ya NSSF ustaadh Dau hakuguswa na badala yake akazawadiwa ubalozi....asante JF, asante Azarel! Kumbe nilikuwa nashangilia utumbuaji "biased"Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.