Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Wenyewe wamekuja bado FF!
Wagalatia hamna jema,

After all sisi hamtupi tabu,tunajua christians na washirikina KWA ujumla hamtupendi,chuki mliyonayo mioyoni mwenu ni kubwa kuliko hii mnayotuonesha huku mitandaoni au hata machoni,tunalijua hilo,and we don't need to be loved by you galatians,sisi tuna mungu wetu na nyinyi mna mungu wenu,hatujawakosea kitu chochote nyinyi AJabu mnatuchukia,the only reason you hate us it's because we are Muslims,na sisi hatutaacha kuwa waislam eti KWA kuwa wagalatia mnatuchukia,no way galatians,

Alituchukia nyerere where is now?alituchukia mkapa where is he now?Alituchukia Magufuli tell me where is he now?

They are very very dead and waislam tupo na uislam upo na utaendelea kuwepo!!
 
Sasa unataka kulinganisha JPM na JK?
Mwanaume na muuza sura?
Fighter na mzururaji?

Anyway tuna utamaduni wa kuenzi viongozi wetu wa juu ngoja niishie hapa nsije kukufuru mila na desturi.
JK alirithi uchumi imara sana, wakati anaingia dola 1 ilikuwa sh, 1000 ya kitanzania, wakati anatoka shilingi ilishafika hadi 2300 kwa dola moja. Yote hii ni JK kujenga uchumi feki wa biashara za kichuuzi badala ya kujenga uchumi wa viwanda na uzalishaji.

Baadhi ya viwanda alivyohubiri JPM vimeanza kufanya kazi ikiwemo smelter ya kuchenjua dhahabu huko Mwanza.
Narudia tena usijaribu tena kufananisha JPM na vitu vya ajabu ajabu, utachekwa.
 
yani since umeingiza maswala yenu ya imani zenu za kidini kwangu nitabaki kutazama minyukano yenu kwasababu mimi sio muumini wa kibwagizo cha udini.
Siku njema n'jomba nchumali.
 

Ha ha ha ha,

You must be so so crazy man,

Unataka kumfananisha kijana wa madrasa JK na huyo kijana wako wa kipaimara mwenye roho mbaya??

Unataka kumfananisha born town JK na yule mshamba wako mchunga ng'ombe hata kuongea tuh lugha kiswahili fasaha hawez??

Records zipo na zinajieleza zenyewe,huo uchumi alioujenga huyo mwendazake uko wapi kila mtu nchi hii amemuacha akilia??

Sisi wakulima wa korosho ametuachia balaa,wafanya kaz amewaachia vilio,wafanya biashara wamefunga kila kitu,wawekezaji wamekimbia,vyombo vya habari kavisulubisha,wapinzan kawapiga risas,
.udini na ukabila ndiyo ikawa nguzo yake kuu,hadi wanaCCM wenzake kama Nape na kinana,plus membe wakamuita ni mshamba we utawezaje kumtetea..

Vijana wa madrasa are the best presidents ever,we are much proud of them starting from Mwinyi,Kikwete and now SAMIA,utatuambia nin??

We run this country accordingly
 
Huyu dau hafai pia apumzike tu
Kwani nchi hii haina vichwa vipya
Kila teuzi mnawangangania wale wale

Ova
 
Hv nan anaweza kuleta takwimu za wafanyakazi wte wakat wa Dr.Dau????kama yupo humu alete co hzo bla bla huu unaozungumzwa udin upo kitambo sana na kuna kund fulani linahisi hii nchi wanahaki nayo sana.
Hivi kwa nini likija swala la Imani na dini almost wote tunakua wajinga na wapumbavu? Yaani akili jnagoma kabisa!!!!


Na kwa nini tuamini mstaafu ndo mwenye uwezo wa kufanya vizuri wakati tuna taifa limejaa vijana? Pathetic!
 

Wewe acha kelele,kwanza kwa mujibu wa dini yenu hamtakiwi kufanya kazi. Mnatakiwa kukaa ndani ili mswali vizuri,ona makampuni ya kiarabu yalivyoajiri foreigners kibao.
 
Well said,hii mijamaa ina roho mbaya sana huku wakidhani wana hati milik ya hii nchi ,ahmaku wakubwa hao
 
Dau big no alieindesha nssf kwa hasara sana kazika pesa nyingi mno
 
Hahaa ndo zao hao na ktk majiz makubwa nchi hii yanatokea upande wao huku yakijitia upofu
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Uongozi siyo vyeti, siyo umri.... Muhimu sana ni busara! Huyo mtu wako alichokuwa anafanya NSSF alionesha hana busara.
 
Erick ni kichwa tangu zamani.

Ni wale makaka fulani walikuwa wanafunga kambi Maktaba ya Taifa hapo kati miaka hiyoo.

Nilivyoona huu uzi nikasema amefanya kosa gani mpaka watu wanataka atolewe?
 
Acha hzo dramas lete takwimu ya hao aliowajaza,tatizo lenu mnajifanya mna hati miliki na hii nchi,ndomana majizi makubwa nchi hii mengi ni yale ya jpli na jmosi
Dau alikuwa na roho nzuri kujaza waswalinah pale nssf.

Huyu mzee wa kijiwe Cha saigon abaki huko huko ubalozini.



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…