Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

Mimi naona tatizo ni huu muungano wa mchongo,naona tuuvunje tu hakuna jinsi nyingine
 
HUENDA RAISI HANA SHIDA KITI CHA URAIS NDIO INA SHIDA INAHITAJI MAOMBI . KWAMBA KILA ATAKAYEKIKALIA KINABADILI MAWAZO
 
Akiwa na tonge mdomoni👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.

Baada ya kunyanga'anywa tonge mdomoni👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Mzee wetu, mzalendo. Anasimama na ukweli, maslahi ya Taifa.
 
Inaonekana anajali zaidi maslahi ya waarabu kuliko Watanganyika.
 
Mtu mwenye ujasiri wa kunyata na kuiba sadaka madhabahuni lazima awe jasiri kusema haya.
 
Kuwaamini wanasiasa kama Silaa ambao ni sehemu ya serikali ndicho kinachopoteza malengo ya ukombozi wa Mwafrika.

Mtu yeyote aliyewahi kufanya kazi serikalini siyo wa kumwamini kabisa.
 
Haha haaa [emoji3][emoji28]

Kwamba hata wakitaka joho lao yupo tayari wachukue au sio ?!

Kweli jamaa kumbe kadhamiria na kuwa serious.

Safi sana.

Naona dawa za Josefin zimesha-expire sasa.
 
Mimi nitachelewa kumwamini tena Huyu mzee.

Maana Josefin anaweza kuja tena kumrubuni Kwa nyuma Kama wakati ule ili afanye usaliti.

Ijapokuwa ni kweli kuwa hata saa mbovu kuna wakati husoma Kwa usahihi.
 
System iliishia kumwozesha bint mdogo ,au unamanisha nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…