Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

Sitegemei kuona serikali ikilikalia kimya ombi lao,sijui watajibiwa nini ila ningependa kujua serikali itaamua uamuzi upi wa busara na hekima!.
Sisi hata tukijadili huku mitandaoni kwamba waje au wasije bado mwenye mamlaka ya uamuzi na utendaji ni serikali.. itakuwa vyema jambo hili pia likijadiliwa bungeni ili tuone watetezi tuliowateua wanaamua nini juu ya watanzania wenzetu...
Hakuna namna lazimatukubaliane na uamuzi huu
 
Hawa wanafunzi kitendo cha kutoka nje na kukusanyika ni hatari sana kwa afya zao. Walishaambiwa wasitoke nje ila wao wanaamua kukiuka masharti wanatoka na kukusanyika! wakiendelea kuwasikiliza hawa wanasiasa wetu uchwara wa upinzani wataangamia.
 
Ni bora kutumia kichwa chako kujua khali halisi! Sentiments zako kuhusu serikali zisikupumbaze
Vyovyote iwavyo nataka kujua serikali ya Tanzania inaamua nini hivyo tu asifanye mjadala kuwa mkubwa,nataka kujua usahihi wa maamuzi yao.
 
Unaelewa lakini kinachoendelea huko China au unakurupuka tu bwashee?
Naelewa na sijakurupuka una hofu na nini..? Mi nataka kujua maamuzi ya serikali yangu wala sijasema nipo kwenye mlengo upi.
 
Mkuu.,kama pana mwana Jamiiforums yeyote alie Eneo la tukio au mwenye kujuana na yeyote huko awasiliane nae/nao labda tunaweza kupata Taarifa Sahihi zaidi。

"Mods wanakuona......Aya yaaaaaa"


Alexander The Great
 
Bora wabaki huko huko wakija huku waganga wa kienyeji watatudanganya watasema tumerogwa kumbe coronavirus ishaingia Tz.😂😂


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Umeona hata Japan watu wamezuia walotoka China katika meli, wewe unabwabwaja hapa. Upinzani usiuendekeze katika masuala ya msingi
Hivi kuna watu mnautindio wa ubongo..? Wapi nimeandika nipo ktk mlengo upi..? Dah! Hivyo kutaka kujua uamuzi wa serikali nimeandika upinzani hapa duh!
 
Hivi kuna watu mnautindio wa ubongo..? Wapi nimeandika nipo ktk mlengo upi..? Dah! Hivyo kutaka kujua uamuzi wa serikali nimeandika upinzani hapa duh!
Ukiwa na busara, zitakuelekeza kuwa ukimya ni jibu tosha. Acha kuuliza majibu
 
Rasmi sasa inaitwa Covid-19 hilo ndio jina la huu ugonjwa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sitegemei kuona serikali ikilikalia kimya ombi lao,sijui watajibiwa nini ila ningependa kujua serikali itaamua uamuzi upi wa busara na hekima!.
Sisi hata tukijadili huku mitandaoni kwamba waje au wasije bado mwenye mamlaka ya uamuzi na utendaji ni serikali.. itakuwa vyema jambo hili pia likijadiliwa bungeni ili tuone watetezi tuliowateua wanaamua nini juu ya watanzania wenzetu...
Mkuu umekurupuka. Soma tena utapata kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watoto hata wakirudi Tanzania inatakiwa wawe isolated. Hakuna tofauti na wanachofanyiwa China sasa why risk their return.

Huo ugonjwa sio wa mzaha kabisa na unaweza kuwa nao kwa siku kadhaa bila ya kuhisi chochote.

Nilikuwa nasoma habari za super-spreader wa UK jamaa katoka Hong Kong (alipopatia ugonjwa), kapitia france holiday na kurudi kwao mpaka anafika yupo poa tu.

Kutokana na trail yake huko France case nne zilizobainika chanzo yeye, UK case zote 11 chanzo yeye.

Tena kwa bahati nzuri alipojihisi anaanza kuumwa alipiga simu hospitali wakamwambia ajifungie chumbani kwanza, wakampa utaratibu wa kwenda kwao na walipompokea tu straight kwenye isolated unit.

Hao wote wengine 11 waliobainika ni through back tracking ya alikutana na nani.

Kutokana na hao 11 waliopo wizara yao ya afya imetamka hali ya hatari kuwepo maana na wao aijulikani washawapa wangapi.

Wabaki huko huko China walipo hao watoto, tena washauriwe wasi interact kwa sana maana inaonekana una spread kirahisi na kama wanaishi mazingira ya hostel mmoja akiupata itakuwa balaa.
 
Back
Top Bottom