Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

Ni wazo jema watulie huko huko huku wakijikinga na maambukizi. Sisi huku nyumbani tunawaombea wasiambukizwe. Maana hatuna teknologia kubwa za kupambana na hao virus. Kwa bahati mbaya wakifika huku tunakufa wote. Mungu azidi kuwalinda na kuwapa nguvu
 
Habari za Asubuhi wakuu Nimetizama Katika Mitandao Mbali Mbali Hasa Pia Jamiiforums Wakizungumzia Swala La Wanafunzi

Waliopo China Kuhitaji Serikali Kuwarejesha Nchini Tanzania Kiukweli Mm Napingana Na Hilo

Sio Kuwa Siwapendi La!'Hasha. LKN Ni Kuhofia Usalama Wa Wa Tanzania Zaidi Ya Million 50

Imagine Kama China Taifa Kubwa Wamepoteza Zaidi Ya Watu 1k Sisi Nchi Yetu Duni Ndio Kwanza Tunapambana Kuelekea Serikali Ya Viwanda Nahatuja Fika.

Wakija huku Situtachimba Makaburi Ya Alaiki?

Maisha Mfumuko Wa Bei Nyanya' Vitunguuz Unga Nk. Nizaidi Ya Corona kwetu WAKITUONGEZEA
MENGINE WATATUUA

TUNAWAPENDA SANA TENA SANA ILA BORA WAKAE HUKO TU KWA SASA NAHAKIKA WATAANDIKWA KATIKA HISTORIA YA MASHUJAA WA TAIFA
FB_IMG_1581483252858.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada ipo unarudia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mada mbili tofauti.

Ya mwanzo ya kuomba kurudi kama Watanzania wenzetu.

Hii ni potential athari ya kurudi kwao.

Zinaweza kujadiliwa na kuchangiwa kwa mitazamo hiyo.

Wakirudi lazima wawekwe karantini. Nchi zote zunafanya hivyo. Tuna uwezo huo? Wakae sehemu angalau wiki mbili, wapimwe ili kujiridhisha hawana maambukizi.

Marekani walifanya kosa la kumwachia mmoja mapema na imekuwa balaa.
 
Nzige tu wanatupelekesha, hilo li corona tutaliweza?

Hebu watulie hukohuko kwanza.
 
Nashukuru bro Maana Jf Kila Mtu Professor
Ni mada mbili tofauti.

Ya mwanzo ya kuomba kurudi kama Watanzania wenzetu.

Hii ni potential athari ya kurudi kwao.

Zinaweza kujadiliwa na kuchangiwa kwa mitazamo hiyo.

Wakirudi lazima wawekwe karantini. Nchi zote zunafanya hivyo. Tuna uwezo huo? Wakae sehemu angalau wiki mbili, wapimwe ili kujiridhisha hawana maambukizi.

Marekani walifanya kosa la kumwachia mmoja mapema na imekuwa balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mada mbili tofauti.

Ya mwanzo ya kuomba kurudi kama Watanzania wenzetu.

Hii ni potential athari ya kurudi kwao.

Zinaweza kujadiliwa na kuchangiwa kwa mitazamo hiyo.

Wakirudi lazima wawekwe karantini. Nchi zote zunafanya hivyo. Tuna uwezo huo? Wakae sehemu angalau wiki mbili, wapimwe ili kujiridhisha hawana maambukizi.

Marekani walifanya kosa la kumwachia mmoja mapema na imekuwa balaa.
Haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scary, tunawaombea na tuwaombe wabaki huko tu hadi hali iwe shwari. Sidhani kama tuna uwezo wa kuwaleta na kudhibiti hata kama wana vimelea visisambae.

We can't risk 50+mil people.
 
Balozi umejieleza vizuri.sasa kuwachukua hao vijana huko walioko ni tatizo.ubalozi au serikali imeweza kuwawezesha au kuwapatia msaada wowote waweze kuishi wakiwa ndani waliko?tumeonaserikali ya Ghana umetuma fedha za kuwasaidia wanafunzi wa nchi yao je utaratibu wa ubalozi ukoje? Watanzania wengi wanataka kuwachangia fedha ilikuwasaidia hao wanafunzi wawasiliane na nani ili michango hiyo iwafikie? Jeubalozi unawafahamu au ina idadi ya wanafunzi wanaosoma china? Je unajua waliko? Hii itakuwa rahisi kuwasaidia na missada iwafikie. Ni muhimu kuwasaidia hao watoto fedha na mengineyo ili waweze kuishi ndani kwa ndani huko waliko.ubalozi uwe unatoa taafira za kila siku kuhusu ugonjwa huo kwakushirikiana na wizara ya afya hapa Tanzania ili kúgundua na kuifahamu hali halisi na kinachoendelea.ugonjwa huu watanzania hawana uzoefu nao
Leo Februari 11, 2020 Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amezungumza kuhusu video inayowaonesha vijana wa Kitanzania wanaosoma China wakiomba msaada wa kurejeshwa makwao.

Balozi ameeleza kuwa mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi hayo kutokana na kufuata maelekezo wanayopata kutoka kwa mamlaka za China.

Amesema mara kwa mara huwasiliana na wanafunzi hao pamoja na serikali ya China ili kufahamu na kutatua changamoto ndogo zinazowakabili na ameishukuru serikali ya China kwa ushirikiano wanaotoa kwa vijana wa Kitanzania.

Balozi akasema dawa imegunduliwa na Idadi ya watu wanaopona imeongezeka huku Idadi ya maambukizi ikipungua kwa asilimia 50 nje ya mji wa Wuhan ambao ndio kitovu cha virusi hivyo hatari.

Balozi akasema kuwa kuishi kwa kufuata maelekezo ndilo jambo linalomfanya hata yeye kubaki hai. Amesema hawaruhusiwi hata kutoka nje na kwamba kitendo cha kukusanyika walichokifanya vijana hao ni hatari sana kwa afya zao.

Kuhusu ombi la vijana hao kurejeshwa Tanzania, Balozi Kairuki amesema hakuna usafiri wowote unaoruhusiwa kutoka ama kuingia kwenye mji wa Wuhan na kwamba Japan ilijaribu kuwaokoa vijana wake lakini kwa bahati mbaya wakaambukizwa na kuvibeba virusi hivyo mpaka nchini kwao.

Balozi akasema virusi hivyo ni hatari na kwamba serikali ya Tanzania haitafanya kitendo chochote kitakachokuja kuwadhuru Watanzania walio wengi.

Balozi huyo akasema kitendo walichokifanya vijana hao kimetokana na msongo wa mawazo unaotokana na kukaa ndani ya uzio wa makazi yao bila ruksa ya kutoka nje.

Balozi Kairuki akatoa wito kwa Watanzania kumuombea yeye na Watanzania wengine wanaoishi China ili Mwenyezi Mungu awavushe salama na kadhia hiyo. Pia amewaomba wazazi kuwapa faraja vijana wao waliopo China ili waondokane na msongo wa mawazo.

Nukta Muhimu: Tatizo lililopo China lisitumiwe kisiasa kwani serikali haiwezi kutumia nguvu kwenda kuwachukua vijana hao kwakua imejifunza kutokana na dosari zilizojitokeza wakati wa Serikali ya Japan ilipoamua kuwarudisha raia wake nchini mwao waliokuwa wanaishi China.

Balozi umejieleza vizuri.sasa kuwachukua hao vijana huko walioko ni tatizo.ubalozi au serikali imeweza kuwawezesha au kuwapatia msaada wowote waweze kuishi wakiwa ndani waliko?tumeona serikali 9 ya Ghana umetuma fedha za kuwasaidia wanafunzi wa nchi yao je utaratibu wa ubalozi ukoje?

Watanzania wengi wanataka kuwachangia fedha ilikuwasaidia hao wanafunzi wawasiliane na nani ili michango hiyo iwafikie? Jeubalozi unawafahamu au ina idadi ya wanafunzi wanaosoma china? Je unajua waliko?

Hii itakuwa rahisi kuwasaidia na missada iwafikie. Ni muhimu kuwasaidia hao watoto fedha na mengineyo ili waweze kuishi ndani kwa ndani huko waliko.ubalozi uwe unatoa taafira za kila siku kuhusu ugonjwa huo kwakushirikiana na wizara ya afya hapa Tanzania ili kúgundua na kuifahamu hali halisi na kinachoendelea.ugonjwa huu watanzania hawana uzoefu nao
MIMI BABA YENU,
 
Balozi umejieleza vizuri.sasa kuwachukua hao vijana huko walioko ni tatizo.ubalozi au serikali imeweza kuwawezesha au kuwapatia msaada wowote waweze kuishi wakiwa ndani waliko?tumeona serikali ya Ghana umetuma fedha za kuwasaidia wanafunzi wa nchi yao je utaratibu wa ubalozi ukoje? Watanzania wengi wanataka kuwachangia fedha ilikuwasaidia hao wanafunzi wawasiliane na nani ili michango hiyo iwafikie? Je ubalozi unawafahamu au ina idadi ya wanafunzi wanaosoma china? Je unajua waliko? Hii itakuwa rahisi kuwasaidia na missada iwafikie. Ni muhimu kuwasaidia hao watoto fedha na mengineyo ili waweze kuishi ndani kwa ndani huko waliko.ubalozi uwe unatoa taafira za kila siku kuhusu ugonjwa huo kwakushirikiana na wizara ya afya hapa Tanzania ili kúgundua na kuifahamu hali halisi na kinachoendelea.ugonjwa huu watanzania hawana uzoefu nao

Back
Top Bottom