Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,602
- 6,754
Kwa mtu anaefatilia kwa ukaribu kinachoendelea china, Balozi ametumia lugha nyepesi ya kutia hamasa na kupunguza panic kwa Wazazi na watanzania kwa ujumla, ila alichokisema hakiendani na hali halisi haswa kwenye maambukizi na upatikanaji wa dawa.