Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Ndio maana wanamsifu Mungu wao kuwa ni fundi, maana kikwazo Chao kimeondoka, yajayo yanafurahisha
 
Na wewe ulikuwa umedukuwa simu ya Jiwe?! Ulisikiaje simu yake akimwambia 'YOU ARE FIRED'?
 
Angetaka kudili nao vibaya angefanya kimya kimya.. ila kurelease zile sauti public ilikuwa lengo pia kuwaambia wengine watch it tunawafatilia kwa karibu snaa
 
Unafiki/usaliti ni kitu kibaya, angekuwa nchi nyingine alitakiwa kufa kabisa. Ana bahati sana JPM alikuwa ni mtu mwema sana, mikono yake safi, isiyo mwaga damu.
Acha ushamba kwa kosa gani kuongea na rais msitaafu ni kosa ? Wakati Kikwete ndiye aliyempa jiwe madaraka.

Hivi Kikwete angetaka Magufuli hasiwe rais ingeshindikana kwa mifumo mibovu ya nchi hii?
 
Si
Ni ule umbea wa kitaa, ukweli au uongo wa habari yenyewe hata haujulikani, tatizo la umbea unaweza kuta ukweli ni 1%, na uongo 99% ndio maana ya umbea 😊
kweli, huo uongo..

Umbea ni ukweli usemwao pasi ridhaa ya mwenyewe!
 
Lakini Msoga Kama Rais mstaafu alikua na uwezo wa kumwambia Mwendazake nipe kibali Cha haraka na magu akatoa!!
 
Sasa yeye yuko wapi
 

Hiyo imetusaidia nini kama Nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…