GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.

Haya anayosema yana maana kubwa sana 😂😂😂😂
 
Hao wanamtandao wana nguvu kuliko Tiss mpaka waweze kumhujumu Rais?
 
Kama ulimsikiliza vizuri gwajima wakuu zaidi ya watatu wa idara ya usalama wameondolewa katika nafasi zao katika kipindi kifupi sana cha utawala wa Samia unajua maana yake ni nini? Amewekwa mtu wa usalama atakaekubali kwenda na mfumo unavotaka. Gwajima alipotoka ushauri Rais apunguziwe mamlaka ya kuwaondoa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama serikali ya Samia ikavamia kanisa lake Kufunga na kuwakamata waumini .
Tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuto kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke tabia hii ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha yetu iwe mashuleni, kanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa na kwingineko

CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa kuongoza nchi

Mfumo wa unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives through unbecoming behavior such as flattering or hypocrisy similarly to working towards self-absorbed group
 
Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?

Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!

Hoja ya kijinga
Sana hii.
You are a part of problem..
 
Great thinker wa siku hizi kila kitu wao ni ndio mzee!!
 
Tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuto kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukihoji kwenye ngazi hiyo utaambiwa kama umekua uondoke tabia hii ya kukataa kuhojiwa kwasasa imebebwa kwenye ngazi zote za maisha yetu iwe mashuleni, kanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa na kwingineko

CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa kuongoza nchi

Mfumo wa unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives through unbecoming behavior such flattering or hypocrisy similarly to working towards self-absorbed group
Good analysis
 
Hao wanamtandao wana nguvu kuliko Tiss mpaka waweze kumhujumu Rais?
Ni sawa na kuunda tume za kuchunguza ufisadi nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia

Tume zinapoundwa tena nyuma ya mikamera ni kwa masilahi ya jamii, (taifa)

......................'Jiwe gizani'

Swali nini kifanyike endapo tume za kuchunguza ufisadi zitaundwa tena nyuma ya mikamera lakini majibu ya hizo tume yakawekwa kapuni, vile Vile nani alaumiwe mimi na wewe ama TISS

Rais ni taasisi na TISS wamo
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.

vibaka na matapeli wa kisiasa hupotoshana kwa script za kilofa sana tena kwa mambo ambayo ni useless kabisa na hayana athari zozote kwa mustakabali wa ustawi wa Taifa letu 🐒
 
Polepole kasema CCM isitume laymen's kumjibu hoja zake sijui kama mmemuelewa.
 
Back
Top Bottom