GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.

None sense na hii ndio dalili nyingine ya kuchanganyikiwa. Kwanza tangu lini Pole pole aka sympathise na Samia kwake yeye si chochote na hastahili chochote kwenye Uraisi. Sasa leo anataka kumpigisha shoti na Raisi Mstaafu ili wagombane na waonane maadui.
 
Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?

Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!

Hoja ya kijinga Sana hii.
Mjinga yupo ikulu anaendeshwa na Mzee wa msoga,huku mtaani Hadi Mtoto wa darasa la pili anajua kuwa nchi ina Maraisi wawili
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.

​
Nani kati ya sisi hapa wanaokumbuka redio kiroboto?

Naona huyu kijana ndiyo amejifanya kama vile ilivyokuwa radio kiroboto wakati wa Nyerere
 
Ukimuuliza dc wa kisarawe atakuambia Polepole ni nani?

Nilichogundua wengi tunamchukulia Polepole ni mtu wa kawaida na ccm juzi juzi tu ana miaka mitano, sio kweli
Waache wamdharau mtu aliyeishi CUBA.
 
Lissu alimpromote Lowassa kumbuka Hilo Kwanza
Si aliomba msamaha au Hukumbuki kuna uzi hapa ulipandishwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti .
Lakin deep kabisa na wewe unajua master mind kwa lowasa alikuwa mbowe kipndi hicho hata kugombea uenyekiti lissu hakua na uthubutu huo
 
Hivi wakati hawa wanamtandao wanajenga himaya yao toka chini system ilikuwa wapi?
Maana kwa namna inavyoonekana na kusemwa inawezekana hata hiyo system yenyewe nayo imeshatekwa na hakuna mwenye uwezo tena wakupiga comeback zaidi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe kuingilia kati.

Wahuni chini ya kiongozi wao inaonekana walisukuma kete zao vizuri na bado wanazisukuma vizuri, hata hii game sijui ya JM kukatwa na blah blah nyiiingi ni kete tu wanazisukuma.

Mama anapiga mpaka 2030, Mwigulu anachukua mpaka 2040, huyo JM 2040 anakuja kama VP au PM.. Wahuni wanajua game wanayoicheza.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Sustem ilishatekwa. Waaay back, walio wahi ku serve kwenye vyombo karibu na rahis wanafahamu hilo
 
Si aliomba msamaha au Hukumbuki kuna uzi hapa ulipandishwa wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti .
Lakin deep kabisa na wewe unajua master mind kwa lowasa alikuwa mbowe kipndi hicho hata kugombea uenyekiti lissu hakua na uthubutu huo
Wapi ambapo umeona Lowassa aliomba msamaha?
 
Pamoja na suala la ukongwe wa RA ndani ya chama, bado yeye ni layman kujibu hoja za Polepole.
Kama si u layman wake, basi ni sehemu ya tatizo ameamua kutoka nje baada ya mashambulizi kuwa mengi.

Tutayaona mengi mwaka huu.
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.

Kusema Rais anahujumiwa ni kumtetwa Rais kwamba yeye hafanyi vibaya, hana nia mbaya, ila anahujumiwa tu.

Polepole anajuaje Rais anahujumiwa na si kwamba Rais anakubaliana na hujuma?
 
Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?

Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!

Hoja ya kijinga Sana hii.
Kikwete anabebeshwa mzigo mzito wa dhambi, makosa aliyoyafanya ujanani yanaendelea kuhusishwa nae mpaka uzeeni.

Hulka ya watanzania ya kupenda kunyooshea watu vidole bila hata ya kuwa na sababu zenye mashiko za kufanya hivyo.
 
Kikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Tuchunge sana tusije kujichumia dhambi bila ya sababu za msingi. JPM moyo wake ulikuwa mbovu kabla hata hajakwenda masomoni Uingereza, aliishi na betri kwenye moyo.

Pia waliomtembelea kule chato waliiona tabia tofauti na mgonjwa wa moyo anavyotakiwa kuishi, kunywa pombe kitu ambacho kilimuathiri kwa namna moja au nyingine. Sawa sawa na RIP Lowassa alivyokuwa.
 
Back
Top Bottom