Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 182
- 243
Wewe unapondaga wakristo iweje leo uwatete hayo mapenzi kwa wakristo yameanza liniKama ulimsikiliza vizuri gwajima wakuu zaidi ya watatu wa idara ya usalama wameondolewa katika nafasi zao katika kipindi kifupi sana cha utawala wa Samia unajua maana yake ni nini? Amewekwa mtu wa usalama atakaekubali kwenda na mfumo unavotaka. Gwajima alipotoka ushauri Rais apunguziwe mamlaka ya kuwaondoa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama serikali ya Samia ikavamia kanisa lake Kufunga na kuwakamata waumini .
Sisi waislamu tulioko ndani ya mfumo tunamkubali na tutamlindaNadhani Rais anategemea kikundi kilichomzunguka ila watamuharibia vibaya maana hakuna ndani ya CCM anaewakubali. Muda siyo mrefu tutasikia mambo mazito.
Mmmmh !Hii hoja siyo ya kijinga huu ni mtego ambao Samia mwenyewe anatakiwa kuujibu. Kuna uwezekano na yeye ni mmoja wao, Kuna uwezekano amezungukwa na watu anaodhani Wana msaada na yeye hapo alipo au Inawezekana anaogopa labda Wana nguvu ya kumuua. Muda siyo mrefu tutapata jibu sahihi mambo yanachemka chini kwa chini. Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa majambazi.
kwa nadhalia hiyo mnayosema je kama wahuni ndo wanahakikisha ashinde, atauliwa na nani?Of course Dkt Samia anatumika kama toilet paper after ushindi watamuua iwe kama Dkt Magufuli ilivyofanyika. Anadhani wanaomuambia acha kugombea hawampendi kumbe wanataka awe na maisha marefu ya kulea wajukuu zake. Amcheki another toilet Paper Dkt Magufuli alivyoangamizwa
Ukiangalia lile tumbo lake litakupa majibu kamili..yeye ni Kiongozi Tumbo.Mimi Binafsi Carlos The Jackal , Kwa namna ninavyomjua Mzee Wasira .
Mzee ambaye Roho yake imejaa Uchu wa Madaraka.
Pale Bunda Mzee Wasira Enzi za uchaguzi alikua akitenda Matukio ya kikatili sana dhidi ya Washindani wake Ndani ya CCM.
Aliwahi Hadi kumpiga Kipigo mshindani wake
Ni Wassira huyuhuyu aliyekimbizana na Akina Esther Mahakaman kisa Ubunge!.
Mzee huyu Wassira sahizi pale kamchomekea KIJANA wake Ubunge .
ITOSHE KUSEMA, MZEE WASSIRA NI WAZEE WA AJABU SAN NCHI HII, HUWEZI KUMUWEKA BUS MOJA NA AKINA MZEE WARIOBA, MZEE BUTIKU !!.
BangiWahuni siyo watu wazuri hata kidogo! Sijui wamemlisha nini Bibi yetu wa Kizimkazi. Maana hasikii, haoni, haelewi!!
kwa nadhalia hiyo mnayosema je kama wahuni ndo wanahakikisha ashinde, atauliwa na nani?
Bangi za siasa hizoAlimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.
We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
Unabii unasema Atakayeshinda HatotawalaNdiyo rais wenu hadi 2035
duh, inabidi nitafute muda kesho nisikilize upya -- network ilinisumbua sana leo.Kwa hii nadhalia ya uraiani baada ya hao wauaji kujigamba kuwa wazee wakasema inatosha (in Makamba’s voice), Dkt Samia ni kama ilivyokuwa kwa Dkt Magufuli, hawakuwa kwenye plans zao, inawezekana hawa wauaji wa Mzee Ally Kibao wakamuua pia Dkt Samia ili mtu wao awe rais, baada ya hapo watapanga safu nani awe rais na lini. Kumbuka kwa mujibu wa pole pole walianza toka enzi zile za Mkapa, wakajipanga 2005 wakafanikiwa ila cheki walivyogeukana Lowasa kauawa, membe wameuua wao akina sitta etc wengi wengi wengi sana, na hatimaye kundi lipo poa now. Ila kwa ufupi ni kundi hatari sana tena sana. Sijui itakuwaje, tuzidi kuomba Mungu
fafanuaUnabii unasema Atakayeshinda Hatotawala
Kwishaaaa
ingekua maneno ningesoma mkuu 😁
.duh, inabidi nitafute muda kesho nisikilize upya -- network ilinisumbua sana leo.
hivi vitu ni kweli au wanatuingiza tu kwenye mfumo hawa jamaa
Kuna mahesabu yamekosewa na ndio huenda yakawa gharama kwao. One mistake one goalTafuta bosi. Kila kitu kipo wazi kwenye mitandao. Unajua kosa kubwa na hawa wauaji ni kujisahau hasa aliyeharibu kabisa ni juu ya mipasho ya Dkt Samia, yaani badala ya kuomboleza yeye haikuchukua muda akarejea toka nje ya nchi ziara na bashasha na bonge la tabasamu akisema eti nchi ilikuwa imefungwa sasa inafunguliwa, hivi kwa akili za kawaida, yeye alikuwa makamu wa rais na kuna ile dhana ya collective responsibility, unapotoa kauli kama hiyo inamaana yeye Dkt Sania alihusika kumuua Dkt Magufuli ili nchi aifungue.
chama chao cha ajabu sanaTafuta bosi. Kila kitu kipo wazi kwenye mitandao. Unajua kosa kubwa na hawa wauaji ni kujisahau hasa aliyeharibu kabisa ni juu ya mipasho ya Dkt Samia, yaani badala ya kuomboleza yeye haikuchukua muda akarejea toka nje ya nchi ziara na bashasha na bonge la tabasamu akisema eti nchi ilikuwa imefungwa sasa inafunguliwa, hivi kwa akili za kawaida, yeye alikuwa makamu wa rais na kuna ile dhana ya collective responsibility, unapotoa kauli kama hiyo inamaana yeye Dkt Sania alihusika kumuua Dkt Magufuli ili nchi aifungue.