Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

🙏🙏🙏🙏
 
Full elimu, asipobatizwa hapa basi huyu ni wa jehanum
 
Hii elimu mtu anatakiwa alipie kuipata

Ni elimu kubwa sana hii
 
Wazee mmepaniki jamaa kawagonga nyundo haswa🤣🤣
 
Wazee mmepaniki jamaa kawagonga nyundo haswa🤣🤣
Sawa Mlaleo hili jina lako langapi vipi, unajitekenya mwenyewe sio eti umetoa point sijaona hata point uliyo toa zaidi ya ku copy na kupaste
 
Watu wanataka kuona ukijibu hoja wewe unamshambulia Mlaleo

Hapa waislamu mnakwama sana na tatizo sio nyie ni dini yenu inakosa misingi yakujisimamia
We kama hujaona hoja lazima utakuwa kenge tu na nina uhakika wewe ndio huyo Mlaleo sababu ukenge wenu ni exactly 💯
 
Wendawazimu wanaohamasisha wanaume kwa wanaume kuoana wanapata wapi uhalali wa kifundisha wengine ustarabu🚮🚮🚮🚮
 
Unajua maana ya neno au jina ZAKARIA humo ndani ya Quran au maana ya neno Israel?
 
Unajua maana ya neno au jina ZAKARIA humo ndani ya Quran au maana ya neno Israel?
Zakaria mana yake amekumbukwa na Mungu, na Mungu alimpa mtoto bada ya kuwa umri wake mkubwa hakumsahau, na Israel mana yake mtu ambaye anaye fata amri za Mungu ni mwenye kusali sana na kumnyenyekea Mungu na kufata sheria za Mungu.
 
Zakaria mana yake amekumbukwa na Mungu, na Mungu alimpa mtoto bada ya kuwa umri wake mkubwa hakumsahau, na Israel mana yake mtu ambaye anaye fata amri za Mungu ni mwenye kusali sana na kumnyenyekea Mungu na kufata sheria za Mungu.
Hivi KWANINI Waislamu MNAPENDA sana kutumia uongo kutetea dini?

Hivi ni moja ya nguzo muhimu iliyojificha?


Hebu acha uongo na UPOTOSHAJI,

Umesema maana za majina lakini hujaonyesha unazitoa wapi wala katika mizizi ya lugha gani.,😂

Tafadhali niambie, hizo maana zako zinatoka katika lugha gani?

Na huyo Mungu unayesema ni nani haswa?

Kwa sababu ukweli ni huu 👇

Zakaria (זְכַרְיָה – Zekharyah)

Linatokana na Kiebrania.

Zakar = kukumbuka

Yah = kifupi cha YHWH (Yahweh)

Maana yake

“Yahweh amekumbuka”.

Hivyo jina hili linamtaja waziwazi YHWH, si “Mungu fulani” asiyejulikana.


Israel (יִשְׂרָאֵל – Yisra’el)


Pia limetoka Kiebrania.

Isra = kushindana/kupambana

El = Mungu (El hapa akimaanisha YHWH, Mungu wa Agano la Kale)

Maana yake

“Anayeshindana na Mungu (YHWH)”.

Sio kama ulivyosema eti “anayefata amri za Mungu.” hahaaa 😂😂😂😂

Hiyo ni tafsiri ya kubuni isiyo na mizizi ya lugha.,jibu kama msomi basi

Kwa hiyo majina haya mawili yote mawili Zakaria na Israel yanamrejea YHWH moja kwa moja.

Hii ndiyo maana ya majina kwa mujibu wa Kiebrania, lugha asili.

Kwa hiyo ukitamka majina haya, tayari unakiri jina la YHWH, Mungu wa Israeli, ambaye Biblia inamfunua.

Swali langu kwako, kwa nini hutaki kukiri hili waziwazi, bali unatafuta maana za kubuni ambazo hazina msingi wa lugha wala historia?😂😂

Ndio maana Mlaleo anawapiga sana spana ,acheni UONGO
 
Nikikuambia wewe ni kenge unabisha hivi kuna Mungu wa kwako na wa Israel tofouti, kuita Mungu kwa kiswahili hakuna tofouti na kumuita Israel YHWH kwa tarifa yako waisrael wanamuita Mungu majina matatu mengine Elohim na Hashem pia. Mungu ni mmoja tu, kwa hio Msukuma anamuita Mungu YHWH hahaha.

Wapi nimesema Qur'an imesema Israel ni lugha ya kiarabu nipe, nilicho sema mana ya Israel imelezwa hivyo sababu ya Yakobo kuitwa Israel kwa lugha yao alikuwa mwenye kusimamisha salaa na kusikia amri za Mungu.

Zakaria pia ni vile vile alikuwa kisha zeeka akawa hana dalili ya kupata mtoto, lakini Mungu hakumsahau.

Qur'an haikutufundisha sisi tusimuheshimu Yakobo na Zakaria sa we kama unadai huyo ni Mungu peke wa Kiyahudi we Mungu wako nani hahaha.

Tukiwambia nyie ni makenge mnabisha.

Mungu ni huyo huyo mmoja awe anaitwa kiyahudi au kisukuma. Unless uwe kenge ndio utadhani kila mtu ana Mungu wake.

Mzungu nani Mungu wao? Kwa hio God si YHWH hahaha.

Sisi Qur'an imetufundisha Mitume wote wa Mungu tuwafate awe aliongea kiyahudi au kibantu hakuna tofouti.

Akili jamani ni mali sana.

Huyo Mlaleo si kenge tu kama wewe ni si ajabu wewe ndiye huyo huyo kenge.
 
Ona unavyojichanganya aisee ,umeona ukimbilie kusema Mungu ni mmoja huyo huyo😂😂

Acha dharau ,Allah huyu huyu dhaifu ibilisi ndio unataka kusema ni huyo huyo Mungu wa Israel YWHW?

Ngoja nikupe elimu ,Ukweli ni kwamba Allah na YHWH si Mungu mmoja. Historia inajieleza wazi, kabla ya Uislamu, Waarabu wa kabila la Kureshi walikuwa wakimwabudu Allah kama mungu mkuu wa kipagani pamoja na miungu wengine wa kike (Al-Uzza, Manat, na Al-Lat). Huyo Allah ndiye Qur’an imempa hadhi Hadi mnamuabudu bila kujua ndiye shetani mwenyewe , sio YHWH wa Israeli.

YHWH ndiye Mungu wa kweli wa Israeli, jina lake liko wazi kwenye maandiko na majina ya mitume.

Nilikuuliza hilo swali labda akili yako ingeamka uone jinsi Allah Mungu wa kipagani anavyojikuta anataja jina la Mungu mwingine YHWH ,ili Hali mnasema Hakuna Mungu ila Allah😂😂😂😂😂



Zakaria maana yake “Yahweh amekumbuka.”

Israel maana yake “anayeshindana na Mungu (YHWH).”


Hayo majina yote yana mzizi wa YHWH, si Allah.

Uliogopa kusema Allah na YHWH ni tofauti maana ulijua ningekubana kwenye CRAMP 😂

Qur’an ikiwataja Yakobo na Zakaria inatumia majina ya Kiebrania yanayomtukuza YHWH ,MUNGU WA ISRAEL ,MUNGU MUUMBAJI ,lakini humo humo inasema hakuna Mungu isipokuwa Allah wa Kureshi, jambo linaloleta VICHEKESHO 😂

Halafu kuhusu kusema “Mungu ni mmoja tu, awe Kisukuma au Kiyahudi,” hiyo ni hoja dhaifu Tena dhaifu sana ,Wasukuma Walikuwa na mungu wao, kila kabila lilikuwa na miungu Yao, ndio maana wakureshi mungu wao alikuwa Hubal au Allah ,moon goodness.

Ni kweli Mungu wa kweli ni mmoja, lakini Mungu huyo mmoja anafahamika kwa jina lake YHWH.

Halafu nimeshangaa hujui kuwa “God(MUNGU)” ni cheo tu, sio jina.

Hivyo wakisukuma au mzungu akisema God/Mungu(akimaanisha MUNGU WA KWELI), anamrejelea yule YHWH wa Israeli.,akitaja majina Yao anarejea miungu Yao ya kabila lao


Allah wa Kureshi hakuwa YHWH, unatakiwa ujue hilo hata kwa viboko ,bali Allah ni mungu wa kipagani aliyepewa heshima ya uongo.

Allah si Mungu wa Israeli, bali ni roho ya uongo ,ni ibilisi mwenyewe aliyejifunika kwa jina la “mungu.”
 
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."
AAlbert Einstein
 
Haya angalia ulivyo kuwa kenge eti Israel mana yake anaye shindana na Mungu hahahaha bora nikuwache na ujinga. Hebu tuambie kashindana naye vipi alimpiga mtama Mungu akazimia sio hahaha.

Mimi nilicho ongea jina la Mungu wanaitwa tofauti na kila taifa sikukusudia wale wajinga wanao abudu vingine isipo kuwa Mungu.

Nimekuliza kama Mungu mnadai ni wa Israel sa wewe Mungu wako ni nani naona hukunijibu na hili neno Mungu ni nini kama mnasema Mungu jina lake ni YHWH sa we kwanini uite Mungu si ungesema tu YHWH 😆 😂

Allah hata siku moja hakuwa shetani na shetani hawezi hata siku moja kuwa Allah. Nyie wakanisa ni vichaa aisay kama mnadhani Allah si Mungu.

Ukiongea na vichaa aisay unaweza kuwa kichaa.
 
Sawa Mlaleo hili jina lako langapi vipi, unajitekenya mwenyewe sio eti umetoa point sijaona hata point uliyo toa zaidi ya ku copy na kupaste
Ujinga uliofunzwa na Quran umeharibu akili yako kuna siku ulisema Ahmed ni sawa na Mihammad nilicheka sana nikaacha ubaki na Ujinga wako ila nasikitika umezidi kupotea so kila mtu unamafananisha na mimi hahaha kweli huna pa kutokea ila jua Uislam ni hovyo huwezi kuutetea sababu hamna Muislam muaminifu kuanzia Mtume wenu Mudy aliyezini na mwanae wa kufikia Zaydi huku akamuia akisaidiwa na stupid Allah
 
Kama waarabu si washamba wasingeacha ndugu zao kuuliwa Palestina kila leo bila kuchukua hatua yoyote na huku wakifanya juhudi za kunyamazishana kwa kila anayejaribu kuwatetea.
Eti ndugu zao, wakati wote inatuhusu waislamu,,,, waislamu kote duniani ni ndugu. Atengue kauli yake ya kusema "wasingeacha ndugu zao kuuliwa palestina"😄😄😄
 
Haya angalia ulivyo kuwa kenge eti Israel mana yake anaye shindana na Mungu hahahaha bora nikuwache na ujinga. Hebu tuambie kashindana naye vipi alimpiga mtama Mungu akazimia sio hahaha.
Usisahau Musa alimpiga Malaika mtoa roho ngumi akamngoa jicho hadi likaning'inia na kumvunja mkono, akagoma kufa
Mimi nilicho ongea jina la Mungu wanaitwa tofauti na kila taifa sikukusudia wale wajinga wanao abudu vingine isipo kuwa Mungu.
Mnapata Shida sababu Allah hana Akili na nyie mnamuongelea then mnasema ameongea yeye eti Qur'an yote ni maongezi ya Allah
Nimekuliza kama Mungu mnadai ni wa Israel sa wewe Mungu wako ni nani naona hukunijibu na hili neno Mungu ni nini kama mnasema Mungu jina lake ni YHWH sa we kwanini uite Mungu si ungesema tu YHWH 😆 😂
Acha kumuuliza low IQ questions When you say Mungu wa Israel ni kwamba aliitwa hivyo na alikataza kutajwa tajwa bila sababu kama nyie kila mda Allahu allahu ni keko,

And tambua yhwh mean katika Hebrew ni i am who I am wasomi wametafsirisiri kuwa I am I can be want I want nadhani kwangu ina make sense


lah hata siku moja hakuwa shetani na shetani hawezi hata siku moja kuwa Allah. Nyie wakanisa ni vichaa aisay kama mnadhani Allah si Mungu.
Aya zote nilizokupa zina prove Allah ndie Shetan

Kasome Quran 15:39 42 maongezi ya nani na nani na Allah anaongea verse gani na Shetan Aya ipi ?

Soma kwa kiarabu sio wapuuzi walio tafsiri na ku add word corrupt

Allah alimdanganya Iblis na Iblis wakakubaliana na Allah anawapoteze mankind, Allah akasema as long utawapoteza ili waje kwangu hahaha ndio ujue yaani shetan ampoteze mtu na huyo mtu ataelekea kwa Allah hahahaha

Quran 15:39 Qaala Rabbi bimaaa aghwaitanee la uzayyin anna lahum fil ardi wa la ughwiyan nahum ajma’een
40 Illaa ‘ibaadaka minhumul mukhlaseen
41 Qaala haaza Siraatun ‘alaiya Mustaqeem
Ukiongea na vichaa aisay unaweza kuwa kichaa.
Unamuambia mwenzio kichaa na huna cha kufundisha kichaa ukweli
 
Ndugu,Webabu, wacha nimjibu huyu kenge naona kani quote huko kunizulia uwongo, anatafuta Surah ya Qur'an ambazo anasema zote ni taka taka mimi nampa Surah fupi tu kama anaweza kutoa taka taka zake atuonyeshe
Sijakuzushia bali mfuasi wako alikuambia anakuona kama Mtume Mohammad yupo ndani yako, ukafurahi bila kumkemea kichaa wewe huna tofauti na Mudy kweli kitabia kwani Mudy nae aliambiwa Allah and Mohammad knows best yaani uwezo wa Allah na Mudy upo sawa Mudy hakupinga wala kukemea kichekesho akasema jua linazama kwenye matope hahahaha,


Surah al kawthar
إِنَّآ أَعْطَيْنَـٰكَ ٱلْكَوْثَرَ ١
Vichekesho vya waislam hapo umetoa kwenye Quran Allah ndie anatamka Bismillah hir Rahman nir raheem si ndio hahahaha
Indeed, We have granted you ˹O Prophet˺ abundant goodness.

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ ٢
Kiarabu wameandika Innaaa a'tainaa kal kauthar = hakika tumekupa Al kauthar
Tafsir yako umeona Allah ni jinga umemuwekea maneno hahaha
So pray and sacrifice to your Lord ˹alone˺.

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ ٣
Fasallii li rabbika wanhar = hivyo swali kwa Mola wako na utoe kafala kichekesho hiyo Lord pekee haipo kwenye aya corrupt uthibitisho Allah hana akili
Only the one who hates you is truly cut off ˹from any goodness˺.
Kichekesho huyo aliemcheka Mudy akimuita "Abtar"(Aliyekatwa mkia au uzao)baada ya kufiwa na watoto wa kiume mara mbili akisema Mudy kafungiwa uzao na Allah, eti Mudy ndio akaja na ujinga wa Aya fupi kuwa mchekaji yeye ndie amekatiwa uzao

kichekesho huyo jamaa alikuja pata uzao so Allah hana anachojua ya kesho yake wala siku zijazo , hata Malaika wanajua kuliko Allah kisa cha kuumbwa Adam aliambiwa unaumba binadamu ambaye baadae atakuwa sio muaminifu? Akasema haitakuwa akasema mimi najua kuliko nyie kisha akawapa adhabu kwa kutojua majina ya viumbe waliopewa na Adam, sasa baadae Adam akatenda kosa hahahaha Malaika walikuwa sawa na Allah hakujua see Allah ni kipofu
Usisahu kawthar ni ziwa la Firdaus ukinywa maji yake unapata shabaha nyingi so ni kama viagra ya Allah usidhani ni la maana hii Aya zaidi ya upumbavu ziwa mifereji yako inatoa pombe hahahahaha
Gratitude and Worship – Allah commands the Prophet Muhammad to pray and sacrifice for Him in gratitude for the blessings given to him.
Tutajie kafara ya mnyama gani?
Hii mikitu nilishakuelezea wewe na wenzako siku za nyuma so kwangu ni kama natafuna karanga ndani ya Chupa ya Soda, Qur'an inathibitisha Mudy hakuwa na mjukuu so hawa kina Agakhan, King hussein kujifanyia wanatoka uzao wa Mudy ni waongo msiwaamini, Mudy alichekwa na Arabs akiitwa Abtar Allah akamuongopea eti jamaa ndio Abtar hahahahaha
quran 108:3 inna shaani"aka Huwal abtar
Amgesema tutakuja kukupa na sio tumekupa ahadi ya uongo
Allah’s blessings are far greater than any hardship we face. Even when life seems difficult, we should remember the countless favors Allah has given us.
Allah lini kawasaidia? Au kwa Hamas October 7 2023?
Kafala ya nini? Kuku?
Allah hajui cha kesho kasome Quran 2:30 Malaika wanajua binadamu atasababisha corruption na umwagaji damu , Allah akasema Indeed I know that which you do not know, baadae Binadamu akaasi na akamwaga demu kama Hamas wanavyoua Allah hakujua kama itatokea but Malaika walijua mapema tu hahahaha hamna Mungu nyie Allah kipofu,

Hatuishii hapo tu Mudy aliambiwa na Allah akapigane vita akusanye magaidi 1,000 akapigane na Wanajeshi 2,000 battle of Hunayn eti Allah atampa ushindi akaenda wakapigwa hadi wakakimbia waislam wakamuuliza vipi mchizi mbona Tumepigwa na ulisema Allah anajua tutawashinda jeshi kubwa, Allah akasema amegundua kuna unadhaifu jeshi la Mohammad, utetezi wa kijinga ndio maana muslims hamshindi same like Hamas Allahu akbar zimeisha
Qur'an 8:65 watashinda vita jeshi kubwa and Quran 8:66 baada ya kichapo Allah anagundua udhaifu wa Mohammad na vibaka wake wezi wa caravan za wafanyabiashara hahaha

now Allah has lightened your burden, for he knows that there is weakness in you
Allah anajua yaliopo ndani ya kifua chako ashindwe kuja ya kesho hahaha
Prove Aya yeyote anajua kitakachotokea any hata mvua tu tucheke hahahaha
Surah Al-Hadid (57:6):
"And Allah is Knowing of that within the breasts". This reinforces the idea that Allah has perfect knowledge of what is in the human heart, even before one expresses it.
Me naomba proof,
Kama Mohammad hajui kusoma Jibril anamuambia read read huku anamkaba Mudy anamuambia sijui kusoma Jibril aliingizwa mkenge na Allah hahahahaha

Allah hakujua Malaika aliyemtuma kumuua Nabii Musa kuwa atapigwa na kungolewa jicho hahahaha
We usiwe mjinga nilicho fanya niliona jibu langu halina tofauti na wikipedia, kwani wewe akili yako wikipedia haina majibu ya kweli hahaha, afa acha kunizulia uwongo ndio mana nime ku Quote kila point hapa ili nikutie adabu.
Adabu ipi hahahaha zaidi umemwaga uharo tu soma vizuri ucheke nawe maana mimi nacheka tu, najua ujinga wote wa Quran,

Wikipedia ulioleta ilianza na according to Islamic source hahahaha mimi nakupa source direct from muslims are ypu getting my point? Sunnah dot com sahihi hadith
Yule mjinga aliyekuambia anaona Mtume Mohammad yupo ndani yako ungekataa pale pale
Aya ya kusema hakuna Mungu ila Allah kaisome tena Kama Allah angakuwa ni Mungu angesema kuna Mungu na ni yeye pekee na sio kusema Hakuna Mungu ila Allah kwani Allah ni just name not God, kiarabu kinaelezea sawia nyie wadanganywa ma victims mnalazimisha,

Christian Arabs wanaotamka Allah ni waliolazimishwa na mabkhalifa waislam watamke hivyo au wauwawe kasome historia, wewe you don't know your religion unadhani Christian Arabs wameujuaje ukristo? Ni kutoka kwa Wayahudi so wayahudi wanamuita Mungu jina la kipagani! Allah?
Wewe ndiye unaye jichangan'ya
Ni kwenu tu
Kwanza uliwahi kuona wapi Mungu akawa hana jina akajiita I am who I am hahaha kwa hio hata mimi basi ni Mungu sasa hahaha, sababu I am who I am . Na kila binadamu anaye jita I am who I am kisha kuwa Mungu.
Vipi Qur'an wajua ni aya gani Allah kamuambia Mudy anaitwa Allah?

Kama ukikataa alicho ambiwa Musa wewe ni Muslim au fake one?

Unakataa based on wayahudi, Christian au muslims? Pengine ushageuka kichaa Musa hakuingea Hebrew?
Yesu kwanini alimuita Mungu; Elohim
Elohim ni prular maana yake ni Gods not singular God Reference alisema tumuumbe mtu kwa mfano wetu = mean mtu wa kufanana na Mungu so tunamfanano wake, sio nyie Allah ana mguu mmoja,anavaa hijab,Akakaa juu ya chair kubwa pamoja na mudy
kwanini asiseme I am who I am nikikuambia wewe ni kenge huwa na uhakika wewe ni kenge
Kivipi kenge hahaha wewe ndie Yesu aya kibao anajiita yeye ndie I am hadi wayahudi wakasema anajiita yeye ni Mungu wakataka kumuua akawatoka bila kujua amewatoka vipi, Uislam huujui ndio ukristo uulize maswali mepesi hahahahaha kosa kubwa la Yesu pirato alilopewa ni kuwa Yesu anajiita Mungu na Baba yake ni one God
Yohana 8:58

Learn Christianity unasoma unaenjoy Mashehe wengi tu wanasoma biblia wapate hakima, ukisoma Qur'an ukaiamini unakuwa Gaidi hahahaha mimi nasoma kucheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…