Jamaa kakushika hadi umenyoosha mikono juu hahahahahaSa wewe umesema sisi Mungu wetu sio sawa sawa na Mungu wa kina Yakobo.na Zakaria sa tuongelee nini tena.
Umeisha tuambia sisi hatuna Mungu umesema Allah sio Mungu kuna lingine bado
🤣🤣🤣🤣Mzee umechanganyikiwa sana ,Kichaa anajijibu mwenyewe Mlaleo ndio huyo huyo hamis77
Sa nijibu nini sababu umeisha sema Mungu wa Waislam sio Mungu wa Israel mwenyewe umemaliza mchezo.
Mimi navyo jua Mungu ni mmoja tu sa we ulipo sema Israel Mungu wake ni tofouti nikaona bora niwawachane na hi mada sababu Mungu naye mjua mimi hana taifa nyie Mungu mnao muongelea ni wataifa moja tu la Israel.
Kuna Mungu wa wote na kuna Mungu wa Israel tu 😆 😂
Huyo Mungu wa Israel tu. mimi simjui ndio sababu nikaona vichaa kumbe wana Mungu wao tofouti na sisi.
Afu Yakobo/Zakaria wa Mungu wa Israel si Yakobo/Zakaria wa Qur’ani kumbe wako tofauti hahaha
Sa mnataka tuonge nini tena kila mmoja abaki na ujinga wake, wacheni mimi nibaki na ujinga wangu na nyie bakini na ujinga wenu.
We ndio huyo huyo afu Qur'an unayo ijua labda ya kanisani lakini hi Qur'an tunayo isoma sisi ikiwa Kaf Ha Ya Ain Sad unatuambia mana yake Yesu ni Mungu, wakati Qur'an inasema Mungu ni mmoja na Yesu ni Mtume, sio ndio nasema labda kuna Qur'an unayo isoma wewe ipo kanisani tu.🤣🤣🤣🤣Mzee umechanganyikiwa sana ,
Kwamba Mlaleo ndio Mimi ,huyo jamaa Mimi mwenyewe najifunza kwake ,ana nondo balaa ,najiuliza ameijuaje Quran na uislamu kiasi hicho
Inaonesha hujaelewa hizo Aya Allah ameleta Qur'an kwa lugha yao wanayoielewa, Swala la kukopa maneno ndiyo Asili ya ya Lugha nyingi Duniani.
Neno Qur'an ni neno la kiarabu limetokana na neno Qara_a/Iqraa lenye maana kusoma au soma n.k
Na kuhusu herufi za Alif laam mim n.k hizo niheru ambazo Allah mwenyewe ndiye anayejua zaidi, na kuna elimu zingine Allah amewapa wachache miongoni mwetu na hayo nimaauzi yake.
Unafanya nicheke sana unavyonifananisha na MlaleoWe ndio huyo huyo afu Qur'an unayo ijua labda ya kanisani lakini hi Qur'an tunayo isoma sisi ikiwa Kaf Ha Ya Ain Sad unatuambia mana yake Yesu ni Mungu, wakati Qur'an inasema Mungu ni mmoja na Yesu ni Mtume, sio ndio nasema labda kuna Qur'an unayo isoma wewe ipo kanisani tu.
Sawa Mlaleo we endelea kutengeneza majina ilo la hamis77 limekaa kinyiramba ramba tu huoni unaregeza mdomo kama Tundu Lisu eti wewe si Mlaleo🤣
We jidangan'ye tu mimi sio kenge unaweza wadangan'ya makenge wenzako tu.Unafanya nicheke sana unavyonifananisha na Mlaleo
Huyo jamaa ana elimu kubwa sana ,Mimi binafsi najifunza kwake pamoja na kuwa nilikuwa muislamu
Umekusudia nini kuleta taarifa hiyo
Siyo Uongo hawajastaarabikaUmekusudia nini kuleta taarifa hiyo
Kuna njia nyingi za kupata ukimwi kama 👉🏽 A Libyan court today sentenced five Bulgarian nurses and a Palestinian doctor to death after finding them guilty of deliberately infecting 400 children with the HIV virus.
siyo wote wapo waliyo staarabikaSiyo Uongo hawajastaarabika
Njia nyingine ni kupitia MBUZIKuna njia nyingi za kupata ukimwi kama 👉🏽 A Libyan court today sentenced five Bulgarian nurses and a Palestinian doctor to death after finding them guilty of deliberately infecting 400 children with the HIV virus.
siyo wote wapo waliyo staarabika
Leta ushahidi wa hilo mimi ninakupa hii hadithiNjia nyingine ni kupitia MBUZI
View attachment 3472056
Kwanini unasema Allah ni IbilisJamaa kakushika hadi umenyoosha mikono juu hahahahaha
Njoo ufanyiwe maombi, Njoo uombewe
View attachment 3471492
Uje tukubatize achana na Iblis Allah
Unajifanya haujui kuwa Quran/hadithi yenu ina ndimi mbili!Leta ushahidi wa hilo mimi ninakupa hii hadithi
Imepokelewa kutoka kwa Ibn ‘Abbas (r.a) kwamba Mtume Muhammad (ﷺ) amesema:
"Yeyote atakayemwingilia mnyama, muueni yeye na mnyama wake."
Imepokewa na Tirmidhi (1455), Abu Dawud (4464), na Al-Hakim (4/355).
Uarabu si uislam, Kuna waarabu wengi sana Syria, Lebanon, Egypt, Palestine, na Jordan nk ambao ni wakristo. Mjifunze Geography and culture also.Hapo 👆🏽 umekosea, Uarabu si Uislam
na ndiyo maana Allah akasema katika Qur'an 49:13
"Enyi watu! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumewafanya mataifa na makabila ili mjuane. Hakika mtukufu zaidi yenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni aliye mcha Mungu zaidi yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye habari".
Maana waarabu wana mila zao ambazo zilikuwa kinyume na Uislamu .
Ni makosa sana kuwatukana watu wa race nyingine,(ethnic group) Tukisema wazungu wote ni wapumbavu huyu balozi angeona ni sawa?Inaonesha hujaelewa hizo Aya Allah ameleta Qur'an kwa lugha yao wanayoielewa, Swala la kukopa maneno ndiyo Asili ya ya Lugha nyingi Duniani.
Neno Qur'an ni neno la kiarabu limetokana na neno Qara_a/Iqraa lenye maana kusoma au soma n.k
Na kuhusu herufi za Alif laam mim n.k hizo niheru ambazo Allah mwenyewe ndiye anayejua zaidi, na kuna elimu zingine Allah amewapa wachache miongoni mwetu na hayo nimaauzi yake.
Aya ni nyingi mno Allah akijinasibu kuwa ndie iblis ndie anayepotosha anaona taka, alafu kuna aya anajiongelesha kuhusu shetani akiwapotosha watu wote wataelekea kwa Allah Quran 15:39- 41Kwanini unasema Allah ni Ibilis
Vipi kuhusu Quran Allah anasema Waarabu ni best katika binadamu wote tena wawafunge race nyingine haswa waafrica minyororo shingoni Al bhukhariNi makosa sana kuwatukana watu wa race nyingine,(ethnic group) Tukisema wazungu wote ni wapumbavu huyu balozi angeona ni sawa?