n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Yupi huyo?. Yule aliyekula faru John na kwenda kula vitu maalum kisha kuvunja mguu, huku akidai kavamiwa na CCM?. CHADEMA chama cha kipuuzi Sana. Washabiki wa hilo genge, nyote akili zenu Sawa Sawa.Angeanza yule zingekua kelele siku nzima
Aliposema “Balozi wa Marekani nchini akiri kukua kwa demokrasia nchini” mlikenua meno.Yeye ni nani hasa kuna kitu cha kwao tumechukuwa kwenye uchaguzi huu, apereke ubeberu wake huko, uchaguzi wetu haumuusu.
Balozi Haiti watu kwenda wanajipeleka wenyewe mtu hajaitwa anaenda kubwabwaja na kisuti chake cha mtumbaAanze na NEC na CCM pamoja na Chadema wakae meza moja.
Swali moja majibu mia, panic mode.Yupi huyo?. Yule aliyekula faru John na kwenda kula vitu maalum kisha kuvunja mguu, huku akidai kavamiwa na CCM?. Chadema chama cha kipuuzi Sana. Washabiki wa hilo genge, nyote akili zenu Sawa Sawa.
He is just an American ambassador in Tanzania, for the purpose of maintaining good mutual relationship!Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Kwa akili yako ya kawaida wagombea wa udiwani wako zaidi ya elfu 6 atakutana nao vipi. Possibly ni wagombea urais na viongozi wakuu wa vyama.Kwani Mbatia anagombea Urais?!
Candidates ni wagombea. Mbatia ni Mgombea wa Ubunge huko Vunjo. I hope atampa fursa hiyo pia Kiwelu na Kimei.
Kasema candidates bila kuspecify ni level gani, it can be ward, parliamentary or presidential?
We umeibuka na heading unayoiwaza mwenyewe kichwani kwako.
Mkuu una akili nyingi kuliko huyo balozi wa Marekani.Umeongea kwa upeo mkubwa sanaKwani Mbatia anagombea Urais?!
Candidates ni wagombea. Mbatia ni Mgombea wa Ubunge huko Vunjo. I hope atampa fursa hiyo pia Kiwelu na Kimei.
Kasema candidates bila kuspecify ni level gani, it can be ward, parliamentary or presidential?
We umeibuka na heading unayoiwaza mwenyewe kichwani kwako.
Anachoongea magufuli huwa unakisia? Sana sana wanakuwekea vi clip wakina wanacheka cheka baada ya mmoja wao kuingizwa kingIngependeza pia kusikia ni kitu gani walichongea sio "Just enjoying talking----" tu
Statement ya kibalozi inatakiwa iwe very clear kusiweko na hayo maneno ya possibily alimaanisha !!!!Kwa akili yako ya kawaida wagombea wa udiwani wako zaidi ya elfu 6 atakutana nao vipi. Possibly ni wagombea urais na viongozi wakuu wa vyama.
Ulitaka akutane na wagombea wote wa udiwani Tanzania.Mkuu una akili nyingi kuliko huyo balozi wa Marekani.
Ni "beberu".Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Jiwe Lazima aende tu hakuna jinsiAonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Kwani kakatazwa Cha msingi awe sababu za kukutana ,mbona wenzetu wako fair Sana,Kama Kuna shida akitaka ni rahisi Sana kukutana nao kuliko hata huku afrikaHii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Eti balozi ana IQ ndogo, statement iko very clear ‘I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES’, mwenye IQ ndogo kama yako atafikiri anataka kukutana na wagombea udiwani wa vyama vyote kitu ambacho hakiwezekani, hata wagombea ubunge tu haiwezekani kwa sababu wako maelfu.Statement ya kibalozi inatakiwa iwe very clear kusiweko na hayo maneno ya possibiliy !!!! Balozi ana IQ ndogo ndio maana katoa statement unclear!!!;
Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tuHii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Mkuu hawa huwa wanaamua kujitoa akili ila tusichoke kuwaelewesha.Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu