CCM wakiona kipengele hiki cha "free, fair, transparent, and peaceful electoral process" wanaumia mno.ALL PARTIES to share America's interest in a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process.
Wewe ndo unajitoa akili, labda utuambie hapa hizo kazi mpya za balozi alizo nazo ni zipi?Mbona mnajitoa akili kaingilia wapi, unajua maana na kazi za balozi.
Wagombea wengine wataongea Kiingereza cha ze comedyBalozi Haiti watu kwenda wanajipeleka wenyewe mtu hajaitwa anaenda kubwabwaja na kisuti chake cha mtumba
kwani balozi wa Marekani kiswahili anakijua ?Wagombea wengine wataongea Kiingereza cha ze comedy
American AMBASSADOR is not our voter!!!! CCM we are seeking votes from our voters not non voters whether they are ambassodors or whateverCHAMA CHA MAPINDUZI CANT AND NEVER BE HAPPY WITH THIS ONGOING EXERCISES
Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu
Suala la kufahamu ni suala jingine na suala la Ubalozi wa Marekani kuwaita wagombea urais ni suala jingine. Hivi ina maana Ubalozi ni wa marekani tu peke yake hapa Tanzania??Mkuu kweli hujui kwamba ubalozi ni nchi ndani ya nchi, na balozi ni mwakilishi wa nchi husika,? mbona unauliza swali jepesi Sana ni kweli hujui au umeamua tu
IN CASE OF INSISTING THE OPENLY EXRCISES OF ELECTION YOU MUST BECAME A ENEMY WHETHER YOU LIKE OR NOTAmerican AMBASSADOR is not our voter!!!! CCM we are seeking votes from our voters not non voters whether they are ambassodors or whatever
Yani uwezo wako kufikiri umefikia hapo tu, sawa mbwa mwenzangu maana hadi tumeelewana jumbe basi sisi sote ni mbwa tu.Maskini hana jeuri mbwa wewe
Vitukuu kutoka chato utavijua tu hata kwa matamshi yao. Eti aperekeYeye ni nani hasa kuna kitu cha kwao tumechukuwa kwenye uchaguzi huu, apereke ubeberu wake huko, uchaguzi wetu haumuusu.
Mkuu balozi zipo ila elewa marekani ndo kiranja wa dunia,chief commands ya mataifa ,akisema neno hakuna nchi ya kuinua mkono Kama inajikunaSuala la kufahamu ni suala jingine na suala la Ubalozi wa Marekani kuwaita wagombea urais ni suala jingine. Hivi ina maana Ubalozi ni wa marekani tu peke yake hapa Tanzania??
Yeye ni beberu wa nchi hiiAonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
..."America's interest in a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process."
Hata Watanzania wengi ndio matamanio yetu kuwa na uchaguzi huru kabisa, wazi na amani, tatizo serikali ya CCM kwa makusudi wameweka vizingiti katika katiba ya nchi na hatuna tume huru.
Uchaguzi wetu ni uchaguzi wao na uchaguzi wao ni uchaguzi wetu.
Yule bwana haendi kwasababu course yake pale kwa Rasi simba aliambiwa lazima akazaliwe upya ulaya
Kama hujui Jambo kaa kimyaAonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Lakini umeelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti jaa kimya.
Aliifukuza kwa kupiga nyungu
Mkuu,mimi nasubiri kwa hamu mdahalo siku hiyo sikai mbali na TV mashaka yangu watatumia lugha ipi??Hata mimi niliwaza hiyo kitu sikupata picha jiwe na lissu sijui kama pangetosha..