Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

Namibia ni mwanachama wa SADC,+ Kapilimba alikuwa Namibia.
= Kapilimba alikuwa haendi kazini na wala hashiriki vikao. Yupoyupo tu.
Sasa mkuu wa nchi anaanza kumchamba kachero mbobezi na aliwahi kuwa DGS wa TISS hizi ni dharau sana akumbuke TISS hastaafu kutoka kwenye mfumo labda afe. Alipelekwa na JPM kule kabla hajachomeka Diwani ambao wote amewatoa akihofia huenda wanampinga na kumkwamisha.
 
Uingereza si mwanachama wa SADC
China si mwanachama wa SADC
Kenya si mwanachama wa SADC
Namibia ni mwanachama wa SADC
Mhe. Rais alitembelea wapi na wapi hivi karibuni kwenye ukanda wa SADC?
Inatosha au niongeze sauti?
Mkuu huko vizuri sana. Yani jibu umelitoa kigreat thinker. Atakuwa tu mtaalam wa IT
 
So, ndiyo isomeke kwamba Kipilimba alikua amesusia majukumu yake?
 
Huyu Bibi! Alichukua hatua gani.
Anapenda uswahili sana na michambo..

Hajui kama utendaji kazi wa watumishi umeshuka sana katika sekta mabalimbali.
Ni vile tu Afrika na waafrika wakipata kazi huwa hawajali
we kima kweli, km amewaondoa kazini na wengine amewabadilisha viyuo ulitaka achukue hatua gani tena. We ndio mswahili mama yuko makini sana na anachapa kazi siyo kuropoka km yule marehemu wenu
 
Huyo atakuwa Kipilimba, akalee wajukuu sasa
 
DG wa TISS kwa rais ni mtu mdogo sana
 
Mimi nauhakika chakubanga huko Havana naye haendi kazini ni kuhudhuria tu carnival. Wamfuatilie.
From Ocean drive, ile miguu inanyooshwa nyooshwa hadi pande za Bayside Marketplace, mara mtu kama Chakubanga...copyright, but kila mtu na time zake sasa sijui ndiye.
 
Tatizo ni vyeo kugeuka zawadi.... watu wanapewa ukuu wa wilaya na mikoa, ubalozi etc bila hata kujali kama wanaitaka hiyo kazi au wanaweza kufanya hiyo kazi etc.

Nimewahi kuongea na Balozi mstaafu mmoja, a proper diplomat, nikamuuliza swali rahisi, kazi za balozi za kila siku ni nini? Akaniambia "kazi kubwa ya Balozi ni socializing" na wenyeji; sasa imagine umetoa mtu ambae by nature sio outgoing.
 

Na ujinga ujinga utaendelea sana kwasababu wanawateua kwa kuangalia ukada na uwepesi wa kuwaingilia kimsimamo. Kama una misimamo ya kiadilifu usahau kabisa kupata cheo kwenye nchi hii.
 
Anaweza kuwa yule wa Namibia 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…