TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Nitumie Sangara Dada yangu, nimekutumia hela kwny simu.
 
 
Naomba kuuliza swali, na kuuliza sio ujinga.

Hivi kila ajali inapotokea kwenye high way, kamati ya ulinzi na usalama, kutia ndani Mkuu wa Wilaya, inaenda eneo la ajali kuangalia, hata kama ni usiku, japo hawajui nani amehusika katika ajali?

Halafu eti wameitana kwenda eneo la ajali japo hawajui ni nani kapata ajali. Mkuu wa wilaya huyo anasikia ajali anatoka kwenda kuangalia? Ajali ya ndege Dreamliner au au gari? Ajali ngapi kwenye hii barabara kamati hii wanakimbia kwenda kuangalia kabla hata ya kujua nani amepata ajali? Hii Kamati ya Ulinzi na Usalama kiboko.

Mkuu wa wilaya anatoa maelezo hadi ya dereva anatapika damu hospitali, tumemhamisha, utafikiri yeye ndio anamhudumia. Kamati ya usalama hadi kuhudumia wagonjwa wa ajali! Kwangu maelezo ya Mkuu wa wilaya ni kama script iliyoandaliwa ila alieiandaa hakufikiri mbali! Maelezo ni too precise to be real.

Sio kwamba walikuwepo eneo la ajali wanamsubiri jamaa wakiwa na maelekezo maalum?
 
hii ina make sense, imepangwa hii
 
Really really so sad I Know this man. Brilliant and intelligent.

Dah mangu R.I.p

Accumen Mo tumepata msiba jamani
Nothing brilliant or smart in making a conscious decision to travel alone, hundreds of kilometers during night time on a two-lane highway of death. With the kind of exposure he had, he should have known better.
 
Mke wake si ndo alisema kuwa dereva alitaka kuendesha akakataa wakati bado wakiwa nyumbani. iwe chai isiwe chai ila mimi nilienda msibani kuaga maana walizika moshi na ndugu ndo walitueleza hivyo. Kama ni uongo basi ndugu ndo waongo. Mke na watoto watatu walibaki nyumbani, baba alikuwa kasafiri na dereva na mtoto mmoja. Ajali yenyewe ilioneshwa mpaka kwenye taarifa ya habari sasa unapinga nini? Aliye fariki anaitwa nelson sasa fatiliya ujuwe hutaki utajuwa mwenyewe.
 
Yule Bibi Malkia wamzimishe kwa maslahi yepi. Wakati alishakuwa mzee. Hz chai zingine ni za moto kweli
 
Unabishana na Mkamba sasa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…