TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Mmh Hilo nalo neno
 

Una uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo.👊🏾👊🏾
 
Ajali ajali hata utumie chuma cha myahudi utapata ajali tu na unaweza kata moto

Ova
 
Nlikutana na hii ajali juzi usiku
Hiyo kwanza hatukuweza kujua ni gari ya aina gani na ajali ilikuwa ni mbaya sana

Na ndio sababu imechukua mda mrefu kutangaza, sababu ile gari iliteketea yote pale pale. hakuna aliyeweza kuokoa chochote .!
nguo zake walizipataje? je kama moto ulijuwa mkubwa ingekuwa rahisi mtu mkusogea karibu na kuweza kuchungulia kwenye gari ili kujua watu waliopo ndani?
 
Ila balozi na wengine waliotangulia wana bahati sana nawaonea gere sisi wengi tuliobaki full huzuni njaa kali kula mara moja baada ya siku tatu na kugongewa na kuchapiwa mademu na wake zetu. Masanja ana hamu na kutaman angekuwa kwenye iyo nafas ya baloz. Tunahuzunika huku kumbe balozi anafurahi
 
Enzi zenu hizo 'mnatagiana' wenyewe tu kwenye mada na comments zenu kina The Boss Sibonike Mag3 Nguruvi3 Dark City JokaKuu
 
nguo zake walizipataje? je kama moto ulijuwa mkubwa ingekuwa rahisi mtu mkusogea karibu na kuweza kuchungulia kwenye gari ili kujua watu waliopo ndani?
Hapana isingewezekana kusogea karibu
Sidhan kama nguo zilionekana kwa moto ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…