Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

inakuaje ataeuliwe luteni jeneral wakati hajafikia cheo cha ujeneral
 

Attachments

  • 16-Tanzania_Army-LG.svg.png
    3.5 KB · Views: 13
Sio kweli kwamba mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makechero bali katika ya wafanyakazi wa ubalozi mara nyingi huwa wanapachika makechero.

Sio tu Mara nyingi wanapachika, inabidi wawepo hata kama hawafahamiki rasmi. Mambo ya diplomasia yanagusa sana usalama wa nchi.

Balozi kama balozi anaweza asiwe kachero lakini kwenye ofisi wapo.
 
Pole polepole usimchukulie poa yule[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji53][emoji2296]
 
Mkuu Selikavu , kwa jeshi letu, kwa vile bado hatuna field Marshall, Generali ndio cheo cha mwisho, hivyo mtu kuwa jenerali ni lazima uwe kwanza Luteni Generali ndio upandishwe kuwa Generali kamili na ngazi hiyo hushikwa na mtu mmoja tuu, CDF.
P
nashukuru kwa elimu mkuu🙏
 
wapo wengi ambao bado wako kwenye utumishi. Ni karibu watano hivi au zaidi
Labda useme ma meja general
Ila Luten General huwa ni 1 tu ambaye Mara nyingi anakuwa Katibu mkuu wa jeshi (COS)

Bahati now wapo wawili maana aliyepita alihamishiwa uturuki ambaye ndiyo huyo yakub na wa sasa ni mwengine ambaye ni COS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…