Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kwamba mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makechero bali katika ya wafanyakazi wa ubalozi mara nyingi huwa wanapachika makechero.
Kwani CDF anatakiwa awe na rank gani??
Mkuu Selikavu , kwa jeshi letu, kwa vile bado hatuna field Marshall, Generali ndio cheo cha mwisho, hivyo mtu kuwa jenerali ni lazima uwe kwanza Luteni Generali ndio upandishwe kuwa Generali kamili na ngazi hiyo hushikwa na mtu mmoja tuu, CDF.inakuaje ataeuliwe luteni jeneral wakati hajafikia cheo cha ujeneralView attachment 2254914
Pole polepole usimchukulie poa yule[emoji23]Jf yasikuhizi sijui imevamiwa , ukirudia kusoma nilichoandika nikuwa Hawa mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makachero Sasa polepole Yuko kwenye kundi la asilimia ndogo(pengine wasio makachero)(refer asilimia kubwa hua .....polepole hatujui Yuko kwenye asilimia kubwa au ndogo ya wanadiplomasia hao
Binafsi pia nilimfahamia kwenye michakato wakatiba na pili channel ten akibishana na mchungaji msigwa kuhusu wagombea wa urais ,polepole alikua akimtetea magufuli
[emoji23][emoji23][emoji53][emoji2296]..ngoja nikubaliane na wewe kuwa Mabeyo hakuzaliwa 1956, amezaliwa 1965.
..sasa imeripotiwa kuwa amejiunga na jeshi mwaka 1979.
..maana yake alijiunga na jeshi akiwa na miaka 14.
..au labda hiyo 1979 nayo wamekosea, tufanye alijiunga 1997.
..maana yake alijiunga na jeshi akiwa na miaka 32, na amechimumpa vyeo mpaka kuwa Jenerali na Cdf.
Cc Mr Q
nashukuru kwa elimu mkuu🙏Mkuu Selikavu , kwa jeshi letu, kwa vile bado hatuna field Marshall, Generali ndio cheo cha mwisho, hivyo mtu kuwa jenerali ni lazima uwe kwanza Luteni Generali ndio upandishwe kuwa Generali kamili na ngazi hiyo hushikwa na mtu mmoja tuu, CDF.
P
Kwani CDF anatakiwa awe na rank gani??
Muulize , kwahiyo sasa tuna Luten General wangapi nchi hii? [emoji848]nashukuru kwa elimu mkuu[emoji120]
Mwamunyange ana muonekano wa CDF kuliko wote niliowashuhudia kwa umri wanguMbona Mwamnyange naye muonekano ulimtupa lkn alikuwa CDF bora tu?
cc Pascal MayallaMuulize , kwahiyo sasa tuna Luten General wangapi nchi hii? [emoji848]
Huyu fala aliharibu stori nzima 🤣 🤣Kidagaa bwana!
wapo wengi ambao bado wako kwenye utumishi. Ni karibu watano hivi au zaidiMuulize , kwahiyo sasa tuna Luten General wangapi nchi hii? [emoji848]
Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed
.
Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]
View attachment 2254455
Wako wawili...mmoja yupo jeshini ambaye ndo chief of staff na mwingine ni balozi nchini uturuki.wapo wengi ambao bado wako kwenye utumishi. Ni karibu watano hivi au zaidi
Polepole siyo wa mchezo mchezoKumbe balozi wa Malawi Polepole naye ni kachero.
Labda useme ma meja generalwapo wengi ambao bado wako kwenye utumishi. Ni karibu watano hivi au zaidi