Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

inakuaje ataeuliwe luteni jeneral wakati hajafikia cheo cha ujeneral
17-Tanzania_Army-GEN.svg.png
 

Attachments

  • 16-Tanzania_Army-LG.svg.png
    16-Tanzania_Army-LG.svg.png
    3.5 KB · Views: 13
Sio kweli kwamba mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makechero bali katika ya wafanyakazi wa ubalozi mara nyingi huwa wanapachika makechero.

Sio tu Mara nyingi wanapachika, inabidi wawepo hata kama hawafahamiki rasmi. Mambo ya diplomasia yanagusa sana usalama wa nchi.

Balozi kama balozi anaweza asiwe kachero lakini kwenye ofisi wapo.
 
Jf yasikuhizi sijui imevamiwa , ukirudia kusoma nilichoandika nikuwa Hawa mabalozi duniani kote asilimia kubwa ni makachero Sasa polepole Yuko kwenye kundi la asilimia ndogo(pengine wasio makachero)(refer asilimia kubwa hua .....polepole hatujui Yuko kwenye asilimia kubwa au ndogo ya wanadiplomasia hao

Binafsi pia nilimfahamia kwenye michakato wakatiba na pili channel ten akibishana na mchungaji msigwa kuhusu wagombea wa urais ,polepole alikua akimtetea magufuli
Pole polepole usimchukulie poa yule[emoji23]
 
..ngoja nikubaliane na wewe kuwa Mabeyo hakuzaliwa 1956, amezaliwa 1965.

..sasa imeripotiwa kuwa amejiunga na jeshi mwaka 1979.

..maana yake alijiunga na jeshi akiwa na miaka 14.

..au labda hiyo 1979 nayo wamekosea, tufanye alijiunga 1997.

..maana yake alijiunga na jeshi akiwa na miaka 32, na amechimumpa vyeo mpaka kuwa Jenerali na Cdf.

Cc Mr Q
[emoji23][emoji23][emoji53][emoji2296]
 
Mkuu Selikavu , kwa jeshi letu, kwa vile bado hatuna field Marshall, Generali ndio cheo cha mwisho, hivyo mtu kuwa jenerali ni lazima uwe kwanza Luteni Generali ndio upandishwe kuwa Generali kamili na ngazi hiyo hushikwa na mtu mmoja tuu, CDF.
P
nashukuru kwa elimu mkuu🙏
 
wapo wengi ambao bado wako kwenye utumishi. Ni karibu watano hivi au zaidi
Labda useme ma meja general
Ila Luten General huwa ni 1 tu ambaye Mara nyingi anakuwa Katibu mkuu wa jeshi (COS)

Bahati now wapo wawili maana aliyepita alihamishiwa uturuki ambaye ndiyo huyo yakub na wa sasa ni mwengine ambaye ni COS
 
Back
Top Bottom