Bananga kumpigia kura Diamond

Rudia kusoma kamanda,na wewe ni wakala?
 
Kujali kuwa watu hawampendi hilo alijali sana, na lilikuwa linamuumiza kwani alitaka apendwe na kusifiwa. Na anajua watu walikuwa wanaiponda hiyo timu baada ya kumtuma huyo dhalimu wake Bashite.
Ingekuwa hivyo angemtimua Bashite mapema sana.
 
Amtimue Bashite wakati alikuwa ndio mfuasi wake wa siasa za kidhalimu?
Ndio maana nikasema alikuwa hajali kuhusu nyinyi kumchukia na alikuwa anaendelea kumuweka Bashite kwa sababu ya kuwakomoa ninyi.
 
Ndio maana nikasema alikuwa hajali kuhusu nyinyi kumchukia na alikuwa anaendelea kumuweka Bashite kwa sababu ya kuwakomoa ninyi.

Uzuri ni kuwa na sisi tulikuwa hatumpi raha, huoni kaondoka yeye kwa ugonjwa sisi bado tupo?
 
Bananga historia yake ni kina Msando simshangai kwa huo uamuzi wake, nahisi ana marafiki wengi CCM kuliko Chadema.
πŸ˜‚ πŸ˜‚, yaaani icho kikundi chenu cha njaa ndo mnataka kua wazungumzaji wa nchi
 

icho kikundi kidogo cha njaa kisikusumbue akili shida yao kubwa ni faragha
 
Mmmmh[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…