kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 982
- 2,471
Ndo bandari kubwa kuliko zote imepigwa ikachakaa.
La sivyo atapigwa hadi achakaeIran aende kwenye meza ya mazungumzo
Ni hatari sana tuwaombee aman hawa ndugu zetuCalculated targets...
Viongozi wakuu wanaangamia, watakaoenda ni wakina nani sasa?Iran aende kwenye meza ya mazungumzo
Kwa kweli raia waheshimiwe!Mimi nachoombea wapige pige tu madude kama hivyo ila wasiwaguse raia mtaani wasiojua lolote kuhusu yanayoendelea kwenye vikao vyao vya ndani vya kupanga kuumizana.
Kama "Danganyika" tuu, uchi wa mnyama.Iran iko uchi haswa! Hamna kitu pale!
Itabidi afanye hivyo maana analeta shida kwa watu wasio na hatiaIran aende kwenye meza ya mazungumzo
Raia wanaonewa bila sababu ya msingiMimi nachoombea wapige pige tu madude kama hivyo ila wasiwaguse raia mtaani wasiojua lolote kuhusu yanayoendelea kwenye vikao vyao vya ndani vya kupanga kuumizana.
Hujui hata historia ya Iran unaropoka kuwaita viongozi wao wajinga!?Inchi tajiri kama Iran inawafanya raia waishi maisha ya kimasikin sababu ya ujinga wa viongozi wao