Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

Hii Vita inapropaganda nyingi kuliko uhalisia ngoja tuone mwisho wake
 
🇮🇷 | Trump’s bluff to “end the war” holds no weight. As Imam Khamenei made clear in his speech at the very beginning of the TP3: “You started this.” It is now solely Iran’s decision when and how it ends — not America’s, not Israel’s.

🔹@enemywatch
Unataka kusema kaka Iran italipiza na kushambulia tena?
 
Hossein Salami - Kamanda Mkuu wa Jeshi la Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC). Aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel yaliyolenga miundombinu ya kijeshi na nyuklia ya Iran.

Mohammad Hossein Bagheri - Waziri Mkuu wa Jeshi la Iran (Kamanda wa Wafanyakazi wa Jeshi la Iran). Aliuawa katika shambulio la Israel ambalo lilitajwa kama operesheni ya kujihami dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran.

Gholam Ali Rashid - Mkuu wa Makao Makuu ya Khatam-al Anbiya, kamanda mwandamizi wa IRGC. Aliuawa katika mashambulizi ya Israel ya Juni 13, 2025.

Amir Ali Hajizadeh - Kamanda wa Jeshi la Anga la IRGC. Aliuawa katika mashambulizi ya Israel ya Juni 13, 2025, yaliyolenga vituo vya kijeshi na nyuklia.

Gholamreza Mehrabi - Naibu Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Wafanyakazi wa Jeshi la Iran. Aliuawa katika mashambulizi ya Juni 13, 2025.

Mehdi Rabbani - Naibu Mkuu wa Operesheni za Jeshi la Iran. Aliuawa katika mashambulizi ya Israel ya Juni 13, 2025.

Fereydoon Abbasi - Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran. Aliuawa katika shambulio la Israel la Juni 13, 2025, linalolenga mpango wa nyuklia wa Iran.

Mohammad Mehdi Tehranchi - Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran. Aliuawa katika mashambulizi ya Israel ya Juni 13, 2025, yaliyolenga vituo vya nyuklia.
 
Mimi nachoombea wapige pige tu madude kama hivyo ila wasiwaguse raia mtaani wasiojua lolote kuhusu yanayoendelea kwenye vikao vyao vya ndani vya kupanga kuumizana.
Bwana Echolima1 mara nyingi amekua analisifia jeshi la Israel kwamba ni jeshi lenye maadili sana, sikua namuelewa kabisa, walau mashambulizi haya ya Israel to Iran naweza kupata jibu; IDF na Mossaid wanajiepusha sana kupiga makazi ya watu, wao wanapiga maeneo ambayo ndio ilikua target yao siku nyingi, jeshini, viwanda vya silaha na think tank yao; leo wamepiga bandari. Same as Yemen, kwanza Yemen na Gaza wanatoa taarifa kwanza kabla hawaja shambulia; what a humanity
 
wameshambulia mall Iran na kuua watu 60. Wasio na hatia
 
Eti limezuiwa chuma imewaka moto, wanalaumiana tu huko.
Vinu vimepigwa huko natanz, isfahan na fordow, mitambo ya gesi imepigwa huko kangan.
Hebu fikiria baada ya vita uyu jamaa atabaki na nini.
Tunazungumzia bandari hapa.
Vilivyopigwa siyo vinu embu usipotoshe,zimepigwa nuclear sites sehemu ambazo vinu VIPO.
Ila vinu viko salama maeneo ndio yameharibika ila vinu havijaharibika.
Na ripoti nilileta hapa kutoka France 24.

Bandar Abbas shambulizi limezuiliwa.
 
wameshambulia mall Iran na kuua watu 60. Wasio na hatia
Naangalia Al Jazeera hapa. Kumbuka alichokisema waziri wao wa ulinzi, "kama Iran itaendelea kushambulia raia then Tehran itawaka moto" Sijui kama natafsiri mambo kwa usahihi, naona kama Iran anapiga bila kua na malengo, yaani anarusha tu makombora bila kujali anapiga wapi, tofauti ka Israel, wao wanaonekana kama wana malengo, wanapiga specific areas only
 
—❗️🇮🇱/🇮🇷 NEW: Iran's intelligence services have arrested 16 Mossad-affiliated collaborators and spies across Iran

@Middle_East_Spectator
 
Tunazungumzia bandari hapa.
Vilivyopigwa siyo vinu embu usipotoshe,zimepigwa nuclear sites sehemu ambazo vinu VIPO.
Ila vinu viko salama maeneo ndio yameharibika ila vinu havijaharibika.
Na ripoti nilileta hapa kutoka France 24.

Bandar Abbas shambulizi limezuiliwa.
Mitambo ikipigwa ivo vinu watawashia nini, viberiti au
 
Bwana Echolima1 mara nyingi amekua analisifia jeshi la Israel kwamba ni jeshi lenye maadili sana, sikua namuelewa kabisa, walau mashambulizi haya ya Israel to Iran naweza kupata jibu; IDF na Mossaid wanajiepusha sana kupiga makazi ya watu, wao wanapiga maeneo ambayo ndio ilikua target yao siku nyingi, jeshini, viwanda vya silaha na think tank yao; leo wamepiga bandari. Same as Yemen, kwanza Yemen na Gaza wanatoa taarifa kwanza kabla hawaja shambulia; what a humanity
Yes....nadhani hivi ndivyo vita zinatakiwa kupigwana kwamba adui yako muwahi kule anakoweza kujiongezea nguvu ya kukupiga na siyo kuingia mitaani na kupiga randomly hata wasiokuwemo.
 
Back
Top Bottom