Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

Iran imetaja muda itakaoshambulia tena kaka?

Usisikilize mtu humu wanapanikisha kijiwe TU IRGC huko angani wanafanya kazi hii, shida ni tu drone drone ambayo na yenyewe Kuna jets zina saka kila object
 

Attachments

  • ع.mp4
    477 KB
Vita haina macho
Mzayuni anajaribu kuipa macho,yeye anapiga kule tu anakoona kunampa usumbufu.

Amepiga wale wanaokaa kumpangia mipango mibaya,scientists wanaokesha maabara kubuni silaha za kumpoteza etc etc,vita ni mbinu kama unao uwezo wa kukata mzizi wa usumbufu kuna haja gani kwenda kupiga hovyo mitaani kuuwa mpaka wamachinga,watu ambao hawajui hata bunduki inashikwaje?
 
—❗️🇮🇷/🇮🇱/🇬🇧 BREAKING: The Iranian Navy announces that it forced a British destroyer to change course in the Gulf of Oman yesterday evening

The British vessel was about to enter the Persian Gulf to provide intelligence data to guide Israeli missiles. An Iranian drone issued warnings to change course or be struck; the ship then turned around.

@Middle_East_Spectator
Nina wasiwasi na huko unakotoa hizo taarifa zako maana nyingi sana naziona ni za uongo au kwa sababu kwenu uongo mnauita TAQIYYAH?
 
—❗️🇮🇷 BREAKING: On Monday, the Iranian parliament will vote on two important matters: Leaving the Non-Proliferation Treaty (NPT), and imposing 'transit restrictions' on the Strait of Hormuz

Conservative MPs are expected to argue in favour of both proposals, but it is not known whether the vote will pass.

@Middle_East_Spectator
 
Usisikilize mtu humu wanapanikisha kijiwe TU IRGC huko angani wanafanya kazi hii, shida ni tu drone drone ambayo na yenyewe Kuna jets zina saka kila object
Aaah nimeona kaka mitambo iko vizuri kumbe.
 
Wiki moja iliopita, wafuasi wa Iran wa humu walitamba sana kwamba Iran imepata siri zote za jeshi la Israel pamoja na nuclear; nilidhani hu ndio ulikua muda sasa wa Iran kuutumia ili kuangamiza uwezo wa kijeshi wa Israeli kama anavyofanya Myahudi. Myahudi anapiga kwenye malengo yake, hatoki nje ya malengo yake, nuclear sites, bandari na viwanda na store za silaha na drones; hadi hapa bado tunaweza kusema Iran ana intelligence ya maana? Don't think so
Kuna wacha - mbuzi wabisha ujinga!

Waje watoe list ya viongozi wa Israel waliouwawa pamoja na maeneo nyeti yaliyoharibiwa!

Hawaoni list ya top leaders wa Iran wanavyofyekwa, maeneo nyeti yanavyobomolewa!!

Bado tu mtu anakwambia Iran ina air defense haijawahi tokea duniani, mara wale waajemi hata USA anapigwa sekunde tu 😂😂
 
Changamoto iliyopo ni infiltrators walioko ndani wanao move na drones Kwaajili ya assassination japo mtandao unaenda unapunguzwa na kazi ni kubwa
 
Changamoto iliyopo ni infiltrators walioko ndani wanao move na drones Kwaajili ya assassination japo mtandao unaenda unapunguzwa na kazi ni kubwa
Kumbe Kuna watu ndani ya Iran walijipenyeza?
 
Hata na Mimi naunga mkono viongozi hao ni wajinga na Wapumbavu kabisa Mungu amewapa nchi yenye utajiri mkubwa kwa kulewa madaraka wanaamua wao kuwa wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia!!! Nchi moja Itake kuifuta nchi nyingine kwenye uso wa dunia huo ni Ujinga na Upumbavu.

Ndiyo maana leo hii wengi wa viongozi hao na familia zao wameamua kuikimbia nchi na kwenda Russia maana ni wajinga kupindukia
Hii ndege Israel hakupata taarifa zake
 
Hujui hata historia ya Iran unaropoka kuwaita viongozi wao wajinga!?
Inamaana wewe una akili kuliko hao viongozi walioingizwa na raia hao hao kwa mapinduzi!?
Ni kweli ni wajinga. Wanatumia utajiri wa nchi vibaya kwa kuwafadhili. Kina Houthis, Hamas, Hezboullah nk. Badala gharama hizo kuwanufaisha wananchi zimewaletea vita kwa mpenda vita (Israel).


Laiti gharama za kutengeneza proxies around middle East, zingetumika ndani ya nchi, basi wananchi wangekuwa na maisha mazuri.
 
Kuna wacha - mbuzi wabisha ujinga!

Waje watoe list ya viongozi wa Israel waliouwawa pamoja na maeneo nyeti yaliyoharibiwa!

Hawaoni list ya top leaders wa Iran wanavyofyekwa, maeneo nyeti yanavyobomolewa!!

Bado tu mtu anakwambia Iran ina air defense haijawahi tokea duniani, mara wale waajemi hata USA anapigwa sekunde tu 😂😂
Tuliza kipwinyo wewe.
Mabwana zako Jana wamezuia waandishi wa habari kupiga picha majengo ya serikali yaliyolipuliwa na Iran.
 
Kumbe Kuna watu ndani ya Iran walijipenyeza?
Ndio wako wengi 16 wamekamatwa, Sasa Iran kainua vitu now fuatilia

—❗️🇮🇱/🇮🇷 BREAKING: Iranian ballistic missiles have been launched, Israel issues a nationwide alert

@Middle_East_Spectator
 
Tunazungumzia bandari hapa.
Vilivyopigwa siyo vinu embu usipotoshe,zimepigwa nuclear sites sehemu ambazo vinu VIPO.
Ila vinu viko salama maeneo ndio yameharibika ila vinu havijaharibika.
Na ripoti nilileta hapa kutoka France 24.

Bandar Abbas shambulizi limezuiliwa.
Israel hawataki kupiga vinu wanaepusha maafa ya mionzi..........maana hata marekani alimwambia hilo.............piga kokote lakini ile mitambo itatoa sumu kali
 
Ni kweli ni wajinga. Wanatumia utajiri wa nchi vibaya kwa kuwafadhili. Kina Houthis, Hamas, Hezboullah nk. Badala gharama hizo kuwanufaisha wananchi zimewaletea vita kwa mpenda vita (Israel).


Laiti gharama za kutengeneza proxies around middle East, zingetumika ndani ya nchi, basi wananchi wangekuwa na maisha mazuri.
We una uhakika gani kama raia Iran hawana maisha mazuri??
Hayo makundi ni washirika wa Iran.
Kufadhili kwake hayo makundi kumeisaidia Iran iwe nje ya uvamizi wa kijeshi wa USA na Israel kwa miaka mingi.
 
Ndio wako wengi 16 wamekamatwa, Sasa Iran kainua vitu now fuatilia

—❗️🇮🇱/🇮🇷 BREAKING: Iranian ballistic missiles have been launched, Israel issues a nationwide alert

@Middle_East_Spectator
Wareteeee wareteeee.
 
Back
Top Bottom