Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Nipo hapa Al Jazeera English naangalia Live kabisa Iran wanajambisha Israel ngoja tuoneNi hatari sana tuwaombee aman hawa ndugu zetu
Iran anaenda kuumia sasa
Nipo hapa Al Jazeera English naangalia Live kabisa Iran wanajambisha Israel ngoja tuoneNi hatari sana tuwaombee aman hawa ndugu zetu
Iran anaenda kuumia sasa
Yanafumuliwa yote yanayoanguka Air Defense Systems za Israel zinafanya kaziWareteeee wareteeee.
Shida nyie wacha mbuzi uchwara mnatetemeka kwa uoga mnapojaribu kutoa hisia zenu!Tuliza kipwinyo wewe.
Mabwana zako Jana wamezuia waandishi wa habari kupiga picha majengo ya serikali yaliyolipuliwa na Iran.
Duru zitarushwa zaidi ya moja.Yanafumuliwa yote yanayoanguka Air Defense Systems za Israel zinafanya kazi
Tupo live hapa Al Jazeera English tunafuatilia
Pole kijana Israel ofisi zake za serikali nyingi zimebomolewa jana.Shida nyie wacha mbuzi uchwara mnatetemeka kwa uoga mnapojaribu kutoa hisia zenu!
Unaonaje tukakuteua tukutawaze na kukusimika kuwa captain wao?!
Nini zimetua mkuu?tayari zimetua
Wajinga kumbe mko wengi sana humu!! Siku hizi hakuna haja hata ya waandishi wa Habari dunia iko kiganjani watu binafsi wanaweza kupiga hizo picha na zikasambaa kote!!Tuliza kipwinyo wewe.
Mabwana zako Jana wamezuia waandishi wa habari kupiga picha majengo ya serikali yaliyolipuliwa na Iran.
Tukiacha biases zetu na mapenzi yetu, israel naye anasaidiwa sana.Israel ana upper hand, anaweza mfikia Iran kwa urahisi na uhakika na kuharibu miundombinu yake
Unajua Iran ilikua Tajiri kuliko UturukiInchi tajiri kama Iran inawafanya raia waishi maisha ya kimasikin sababu ya ujinga wa viongozi wao
Achana na pro Iran hao wamerukwa na akili....Wajinga kumbe mko wengi sana humu!! Siku hizi hakuna haja hata ya waandishi wa Habari dunia iko kiganjani watu binafsi wanaweza kupiga hizo picha na zikasambaa kote!!
Wapi wewe uliona wamezuia watu kwenda kupiga picha kwenye hayo majengo? Kumbuka israel wako waarabu wengi tu ambao wanafurahia Israel ikishambuliwa hao hao wanaweza kupiga picha za maeneo hayo na wakazirusha. Tatizo kubwa upande wenu uongo Naona kama kitu kizuri sana wakati siyo kabisa!!! Mnapenda sifa hata ambazo hamstahili kuwa nazo!!!
Wanaogopa kuchekwa.Iran aende kwenye meza ya mazungumzo
Mwambie Iran azunguke apitie Tanzania kwa mamaTukiacha biases zetu na mapenzi yetu, israel naye anasaidiwa sana.
Jiulize Iraq wanaruhusu ndege za Israel kwenye anga lake, lakini hawataki ndege za Iran zipite, Jordan naye hivyo hivyo wanasema hawataki kujihusisha na vita visivyo wahusu. Sasa hapo unaona Israel upper hand yake imeongezewa nguvu za ziada.
mabomu ya Iran kwenda Israel yanakuwa intercepted humo njiani, lakini ya Israel kwenda Iran yana enda tu kama yanatoka kazini yanaenda nyumbani hahaha.
Hahaha wampitie na Rostam Aziz waende naye?M
Mwambie Iran azunguke apitie Tanzania kwa mama
Aongezewe na doto magari au mwijaku 😁Hahaha wampitie na Rostam Aziz waende naye?
Wakipita huku na sisi tunaweza kupata collateral damage bila sababu.
Ila wakiweza wapite Zanzibar itakuwa poa tu.
Na wapinzani wake walivyo na roho mbaya watamfanya apigane kwa muda mrefu ili anyong'onyee kijeshi,kiuchumi na kimorali.Anacheza na USA,EU na Israel!Iran angekubali yaishe, utajiri wake wote unashambuliwa atabaki masikin wa kutupwa.
Hahaha hao ndio machawa wa mama A? Wapelekwe vitani labda watarudi wakiwa na akili timamu.Aongezewe na doto magari au mwijaku 😁