Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

wameshambulia mall Iran na kuua watu 60. Wasio na hatia
Acha uongo wewe mall usiku wote hao 60 walikuwa wanafanya nini? Iran yeye Kalenga maeneo ya kiraia kabisa hivyo kuipa Green-light IAF kupiga vituo vya mafuta!!!
 
Saa ngapi hiyo kaka?

Lilikua shambulizi la kigaidi Kama unavojua Mossad wako wanazurura na madrones Kwenye mifuko lakini Bado Yana popolewa vile vile. Masaa Kama 16 yamepita, ndio maana khamnei akarushusu watandikwe raia wa mazayuni

🇮🇱🇮🇷⚡ 60 people, including 20 children, killed in Israel's Friday strike on building in Tehran’s Shahid Chamran Township.
 
Tushazoea uongo wa kiarabu wanapotafuta uhalali
🇮🇱🇮🇷⚡ 60 people, including 20 children, killed in Israel's Friday strike on building in Tehran’s Shahid Chamran Township.
 
🇮🇱🇮🇷⚡ 60 people, including 20 children, killed in Israel's Friday strike on building in Tehran’s Shahid Chamran Township.
Iran imetaja muda itakaoshambulia tena kaka?
 
Mimi nachoombea wapige pige tu madude kama hivyo ila wasiwaguse raia mtaani wasiojua lolote kuhusu yanayoendelea kwenye vikao vyao vya ndani vya kupanga kuumizana.
Vita haina macho
 
Acha uongo wewe mall usiku wote hao 60 walikuwa wanafanya nini? Iran yeye Kalenga maeneo ya kiraia kabisa hivyo kuipa Green-light IAF kupiga vituo vya mafuta!!!
Subiri Israel inageuzwa kifusi, naona muingereza kaja kuokoa jahazi
 
—❗️🇮🇷/🇮🇱/🇬🇧 BREAKING: The Iranian Navy announces that it forced a British destroyer to change course in the Gulf of Oman yesterday evening

The British vessel was about to enter the Persian Gulf to provide intelligence data to guide Israeli missiles. An Iranian drone issued warnings to change course or be struck; the ship then turned around.

@Middle_East_Spectator
 
Ulipogwa sio mtambo bro ni nuclear site.
Cha umuhimu vinu viwe salama na vinu viko salama.
Bado hakuna uhakika kama vipo salama
Screenshot_20250614-221019.png
 
Hapaingiliki wanaishia kurusha rusha TU air defense ya muajemi noma
 
Yes....nadhani hivi ndivyo vita zinatakiwa kupigwana kwamba adui yako muwahi kule anakoweza kujiongezea nguvu ya kukupiga na siyo kuingia mitaani na kupiga randomly hata wasiokuwemo.
Wiki moja iliopita, wafuasi wa Iran wa humu walitamba sana kwamba Iran imepata siri zote za jeshi la Israel pamoja na nuclear; nilidhani hu ndio ulikua muda sasa wa Iran kuutumia ili kuangamiza uwezo wa kijeshi wa Israeli kama anavyofanya Myahudi. Myahudi anapiga kwenye malengo yake, hatoki nje ya malengo yake, nuclear sites, bandari na viwanda na store za silaha na drones; hadi hapa bado tunaweza kusema Iran ana intelligence ya maana? Don't think so
 
Hujui hata historia ya Iran unaropoka kuwaita viongozi wao wajinga!?
Inamaana wewe una akili kuliko hao viongozi walioingizwa na raia hao hao kwa mapinduzi!?
Hata na Mimi naunga mkono viongozi hao ni wajinga na Wapumbavu kabisa Mungu amewapa nchi yenye utajiri mkubwa kwa kulewa madaraka wanaamua wao kuwa wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia!!! Nchi moja Itake kuifuta nchi nyingine kwenye uso wa dunia huo ni Ujinga na Upumbavu.

Ndiyo maana leo hii wengi wa viongozi hao na familia zao wameamua kuikimbia nchi na kwenda Russia maana ni wajinga kupindukia
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    2 MB
Back
Top Bottom