Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Huenda wewe ni mwandishi wa habari wa uhuru media, jamvi la habari na machinations. Uwezo wenu wa vitu kama hivi ni mdogo sanaHakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Mtumishi wale wanaokaa nayule bibi pale Dodoma unataka sema ni "kikao cha kitchen Party" , kisa tu mwendazake alise "nileteeni huyo"....?Kwani Tanzania kuna bunge?
Barua ya katazo la mkutano ya msajili wa vyama vya siasa tishio la sheikh Mwaipopo na hujuma kadha wa kadha ni factors muhimu pia. Hata hivo upo ujumbe umewafikia watu, chumvi huwa ni ndogo kuliko mboga lakini...Usidode kwa nini wakati lilikuwa kongamano la ibilisi!
Zitto hivi ni mpinzani!?Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Haikusaidii lolote. Leo hii na digital world hakuna wa kumdanganya. Watu tumeangalia live streaming na kuuona Ukweli wa Mungu! mavi yakoHongera,chadema.View attachment 2697480
Qui qui qui ππππleo ndio mnajifanya mambo digital,kama mambo ni digital kulikuwa na haja gani ya kutangaza kusanyiko badala ya kukaa sebuleni na kuchukuwa video au nyie wa digital/mliokosa wahudhuriaji mnaita (live stream)πππHaikusaidii lolote. Leo hii na digital world hakuna wa kumdanganya. Watu tumeangalia live streaming na kuuona Ukweli wa Mungu! mavi yako
Punguza wivu kidogoMtumishi wale wanaokaa nayule bibi pale Dodoma unataka sema ni "kikao cha kitchen Party" , kisa tu mwendazake alise "nileteeni huyo"....?
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Kijana wenu[emoji2960]Msamehe ni kijana wetu wa upinde
Qui qui qui ππππleo ndio mnajifanya mambo digital,kama mambo ni digital kulikuwa na haja gani ya kutangaza kusanyiko badala ya kukaa sebuleni na kuchukuwa video au nyie wa digital/mliokosa wahudhuriaji mnaita (live stream)πππ
Ulitaka wapande hadi juu ya paa za nyumba?Yaani hao ndio "wengi sana"?[emoji1787][emoji1787]
Sio ujanja kuweka picha ya zamani hapa,HAPO sio bulyaga Jirani na ninapofanyia kazi.
Yaani hiki kikundi cha magaidi cha buana mbowe kifutwe tu. Matapeli kabisa. Hakuna mtanzania atakayewaamini. Walimdhihaki na kumtusi Dkt Magufuli na kujipendekeza kwa Dkt Samia ila sasa tabia yao halisi ilishajulikana ni wanafiki hawana ajenda ktk nchi hii zaidi ya kupinga kila kitu.Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Umepiga upande mmoja piga vizur na wengi walio hudhuria ni wazululaji kama wewe
Jana sikuona kelele zako hapa na leo.umetulia vipi mliweza kuwakusanya viumbe?Usikimbie jf , endelea kubaki
hili suala la bandari sio la chadema , usilete uchama kwenye Jambo kubwa Kama hili. Ni Jambo la watanganyika wote , wenye vyama na wasio na vyama , wenye dini na wasio na dini , wenye makabila na wasio na makabila. Omba radhi tafadhalli.Safi sana
Viva CHADEMA!, Viva Tanganyika!
Lazima kieleweke
Aibu yao serikali, Polisi, na CCM
Jana walikosa vyote mbaya zaidi mtoa mada hajaamini na alichokiona licha ya kupiga kelele nyingi hapa jukwaanNipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!