johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yuko kizalendo zaidiAlambishwe asali ya Ubalozi Colombia atatulia huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko kizalendo zaidiAlambishwe asali ya Ubalozi Colombia atatulia huyo
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023
We mmjane acha kutukana Wazee ...okotolwa na nani no bhosazi wa sagala cho!!!Alikutatua marinda? Maana kila siku unaimba ukatili alafu hausemi huo ukatili
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Balozi Willibroad Slaa anaunguruma Muda huu kutoka Hoteli ya Regency Park, Mikocheni.
Hamshindi Sa100Yuko kizalendo zaidi
Kinachoshangaza hadi hivi hajawa BANNED kama ambavyo Wengine hupewa BAN kwa Kauli nyepesi tu kuliko hiyo yake Kubwa.Kuwa na heshima kwa wazee wako. Retired ana umri wa zaidi ya miaka 60. Hivi huo ujasiri wa kutukana wazee huwa mnaupata wapi?
Mfuate inbox, usipofanya hivyo, basi ghadhabu ya Mungu na uwake juu yako
Walihongwa vijizawadi....kwenye Dubai Expro walisaini mikataba 17 ..
Kanisa Moja Takatifu la MitumeHuwezi kuwapa bandari za maziwa, bahari, mabwawa na mito na lolote lijalo kuhusu bandari ukasema una nchi. Umeuza nchi
Hana uzalendo wowoteYuko kizalendo zaidi
Huyu Mzee ni rahisi kununuliwa ndio shida yake.Hotuba imejaa madini tupu
Yaani Mhe. Rais pamoja na kuwa na lundo la washauri lakini bado anaingia Mikataba ya akina Chifu Mangungo ambaye yeye hakujua kusoma wala kuandika🙆♂️🤔
Kwa Sasa Yale matusii hamumuporomoshei tenaaNaam Dr.slaa mzalendo kabisa
Aliyeuza chadema ni DjHuyu Mzee ni rahisi kununuliwa ndio shida yake.
Humjui weweHuyu Mzee ni rahisi kununuliwa ndio shida yake.
Huna adabu!!Alikutatua marinda? Maana kila siku unaimba ukatili alafu hausemi huo ukatili
Akiwa upande wa wananchi anaondolewa dhambi zake zoteKwa Sasa Yale matusii hamumuporomoshei tenaa