Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ni mkweli Mkuu, hata hivyo naona kwenye hili ameona atangulize maslahi ya Taifa mbele.Huyu Mzee ni rahisi kununuliwa ndio shida yake.
Nimefurahi kuona hata Profesa Lipumba pia amekataa huo uuzaji.