Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Somaliland na Somalia ziliungana na Kuzaa Somalia zikashindana na Somaliland ikajitoa kwenye muungano, huyu Mzee Mihogo aache kupotosha.
 
Safi Slaa, sikupendi kwa vile uliunga juhudi ukatili wa magufuli, kwa hili tuko na wewe
Ujinga na chuki ndio tatizo lake kubwa,hujui kipi hutaki na kipi unataka,unatabia za ki malaya malaya.kwa taarifa yako watu woote wenye akili wanamtumia magufuli kama nembo ya uzalendo Tanzania,na falsafa ya jpm ndio itaiondoa ccm madarakani.
 
Back
Top Bottom