Kuwa na heshima kwa wazee wako. Retired ana umri wa zaidi ya miaka 60. Hivi huo ujasiri wa kutukana wazee huwa mnaupata wapi?
Mfuate inbox, usipofanya hivyo, basi ghadhabu ya Mungu na uwake juu yako
Kinachoshangaza hadi hivi hajawa BANNED kama ambavyo Wengine hupewa BAN kwa Kauli nyepesi tu kuliko hiyo yake Kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…