Bandari ni suala la muungano kwa mujibu wa Katiba. Kuna DG wa Bandari wa Tanzania na huko Zanzibari kuna DG. Sasa anahoji huyo wa Zanzibar yupo kwa mujibu wa katiba ipi? Maana yake Zanzibar amekwapua madaraka na kuvunja katiba
Nice question,tusubirie majibu
 
Kuna genge moja hatari sana nyuma yake
 
Hali ya hewa ya leo inasoma kivingine, hivi vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi gani nchi inapouzwa mchana kweupeee tena na watu wawili kutoka nchi jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…