Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Dr.Slaa atuambie....alipokuwa balozi SWEDEN....Serikali ya JMT iliingia mikataba na ARAB CONTRACTORS kujenga bwawa la ufuaji umeme la Mwalimu Nyerere alielezwa? Tulielezwa ?!!!
emoji15.png
Tulishangaa tu "Waarabu" wa Magufuli wameanza kazi bila hata Zabuni😆
 
Tatizo siyo kupinga uwekezaji, kinachopingwa ni aina ya Mkataba ambao Serikali inaingia na Wawekezaji.
Mleta uzi kasema hivi:

hatuko radhi na uwekezaji wa bandari yetu Kwa yeyote yule kiufupi hakuna MTANZANIA aliyefurahishwa na hilo Kama tunaweza kulipia matengenezo yote ambayo tunayoyataka yawe kwenye bandari yetu pendwa na iwe hivyo lakini kwa swala la wawekezaji hatupo radhi
 
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World...
Mengi ya hayo aliyoongea ni upungufu wa uelewa wa mwanasiasa yoyote yule.

Anahitaji kuelimishwa kama wanavyoelimishwa watu wa taasisi nyinginezo.

Huyu ni nyoka wa usalama wa taifa, huwezi ukaamini sauti yake hata kama inabeba uchungu na kuonekana ni ya dhati.
 
Bavichaa banaaa....

Niko eneo moja hapa wanapata chakula baada ya kikao chao....wanaongelea "nondo " za mh.Dr.Slaa....eti wanasema arudishwe chamani...apige kazi maana mh.Mbowe anadorora sanaaa [emoji1787][emoji1787]

Baavichaa banaaaa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naam Dr.slaa mzalendo kabisa

Huyu Samia kwa mara ya kwanza nadiriki kusema ni kiongozi asiyefaa hata kidogo

Kwenye picha kubwa ni asilimia mia moja hajali chochote kuhusu Tanganyika mbaya zaidi wale waliomleta kwenye siasa za Tanganyika wanamuunga mkono kwasababu wanafaidika na maamuzi yake yanayohusisha...
Chuki kwa Samia tena?. Rais wa nchi yetu hazungumziwi kwa miaka mingi. Ukiona mwanasiasa mpaka anatumia pesa ili apate nafasi ya kuwa mgombea, tambua huyo keshaukosa urais.

Samia na upungufu wake wote ni tofauti sana na watangulizi wake karibu wote.

Tafuta video zipo mtandaoni ili upate uelewa wa suala la bandari kabla ya kuja na mapovu humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom