Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Hivi kama huu Mkataba wa Tz na DP WORLD ukisimmama kama ndo kipimo cha uzalendo, umakini, uwajibikaji na uchapa kazi wa Rais wetu, na idara zote muhimu za Serikali, basi watanzania imekula kwetu. Hivi ni kweli kabisa kabisa kuwa mama haoni Tatizo kwenye huu Mkataba?

Sasa naelewa kwanini JPM alikuwa anakaa ofisini hadi saa 10 usiku kupitia documents moja baada ya nyingine. Mama kaa ofisini fanya kazi, ukiwa achia politicians wakusaidie your personal work utamaliza muda wako ukiwa na majuto yasokwisha, au ukafa kwa sonona. Na hili ukalitizame kama weye unavaambiaga watu wako.
 
Mh. William Lukuvi Na Azimio La Bandari Anene Haya :



Tumeshindwa wenyewe kwa miaka mingi kujaribu kuleta ufanisi bandarini lakini imeshindikana anaweka wazi mkongwe huyu wa siasa .

Sasa tumepata foreign direct investment kubwa kupitia mradi huu wa DP World katika bandari, sasa mlango wa bandari unafunguka na watanzania watoe hofu kuwa nchi imeuzwa.

Mpaka raia na taasisi nzima imekubali mradi huu basi wananchi tumuamini rais wetu na uzalendo wake pamoja na timu nzima ya waziri Mbarawa na wataalamu wake kufanikisha mradi huu.

Watanzania watulie TRA watakuja kutuambia matapo ya forodha n.k ya alichokiita 'kiwanda' kikubwa kabisa kinacholipa mapato mengi zaidi nchini kitawekwa wazi.

Mbunge huyu 'mkongwe' wa Jimbo la Ismani, Iringa kupitia CCM toka mwaka 1995 hadi leo 2023 Mh. William Vangimembe Lukuvi : soma zaidi ukongwe ktk siasa : Source:


Huyu hafai hata kuwa diwani, ni mbaguzi,,,mfikishie ujumbe mwambie dalmine anasema acha ubaguzi, acha udini

 
Narudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World

Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Kwani wewe umepata wapi ujasili wa kuuita ni mkataba, wakati wenzio wanaita, makubaliano ya awali??? Ndiyo sababu huuelewi na kukimbilia kwenye sala iliyo kuu!!! 😭 😂😂
 
Narudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World

Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Tatizo msimamo wako haueleweki Yohana Mbatizaji.
Tulishawambia kama kitu kina rangi nyeupe, basi semani ni nyeupe na kama ni nyeusi semeni ni nyeusi.
Haya mambo ya kukwepesha kwepesha ili msionekane wabaya ndo yatatufikisha pabaya siku moja.
 
Katika kufanya kwangu kazi na taasisi za kimataifa nimegundu mengi sana.

Hili la DP World ingekuwa ni Mzungu angekuwa ameshaachana nalo, ila mwarabu ni kasheshe, King'ang'anizi mno.

Na Mwanarabu akitia guu hapo bandarinin, tutapoteana.
 
Katika kufanya kwangu kazi na taasisi za kimataifa nimegundu mengi sana.

Hili la DP World ingekuwa ni Mzungu angekuwa ameshaachana nalo, ila mwarabu ni kasheshe, King'ang'anizi mno.

Na Mwanarabu akitia guu hapo bandarinin, tutapoteana.
Kwahiyo wewe unapendekeza je?
 
serikali iharakishe haraka sana mchakato ili dp world waanze kazi... mtu anayejitambua anajua nini maana ya uwekezaji.
 
Bandari Day 22 July
 

Attachments

  • IMG-20230716-WA0842.jpg
    IMG-20230716-WA0842.jpg
    252.2 KB · Views: 2
Mkuu wenzio wanahongwa ili kuipiga vita CCM na Serikali yake afu wewe unatumiwa bure kwa faida ya wengine.

Mnatumia hadi warundi wa makambini kweli maji ya shingo
 

Attachments

  • Blue_Wildebeest,_Ngorongoro.jpg
    Blue_Wildebeest,_Ngorongoro.jpg
    534.4 KB · Views: 6
Kila sehemu tumejichanganya mpaka wanaamua kubambikia watu kesi wanaojua au kuzimisha kabisa kwa kutumia wanavojua.
Sasa tunapoelekea utasikia ndege ya mizigo itakuwa inatoka dar kwenda kigoma tu.

2025 ccm labda mtumie dola
IMG_0052.png
 
Back
Top Bottom