Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. William Lukuvi Na Azimio La Bandari Anene Haya :
Tumeshindwa wenyewe kwa miaka mingi kujaribu kuleta ufanisi bandarini lakini imeshindikana anaweka wazi mkongwe huyu wa siasa .
Sasa tumepata foreign direct investment kubwa kupitia mradi huu wa DP World katika bandari, sasa mlango wa bandari unafunguka na watanzania watoe hofu kuwa nchi imeuzwa.
Mpaka raia na taasisi nzima imekubali mradi huu basi wananchi tumuamini rais wetu na uzalendo wake pamoja na timu nzima ya waziri Mbarawa na wataalamu wake kufanikisha mradi huu.
Watanzania watulie TRA watakuja kutuambia matapo ya forodha n.k ya alichokiita 'kiwanda' kikubwa kabisa kinacholipa mapato mengi zaidi nchini kitawekwa wazi.
Mbunge huyu 'mkongwe' wa Jimbo la Ismani, Iringa kupitia CCM toka mwaka 1995 hadi leo 2023 Mh. William Vangimembe Lukuvi : soma zaidi ukongwe ktk siasa : Source:
Parliament of Tanzania
www.parliament.go.tz
Usilitaje bure jina la bwana MUNGU wako!!Narudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World
Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Kwani wewe umepata wapi ujasili wa kuuita ni mkataba, wakati wenzio wanaita, makubaliano ya awali??? Ndiyo sababu huuelewi na kukimbilia kwenye sala iliyo kuu!!! 😭 😂😂Narudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World
Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Chawa wa MwarabuNarudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World
Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Tatizo msimamo wako haueleweki Yohana Mbatizaji.Narudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World
Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Aliyevujisha mkataba wa Bandari atakuwa ni Malaika.Narudia tena kuusoma kwa makini Mkataba wa TPA na DP World
Naomba mniombee niweze kuuelewa nami kila saa nasali ile Sala ya Baba Yetu Uliye Mbinguni
Labda tuseme hivi: MBOWE iliuza chama kwa mwizi lowasa.. Ila slaa akawa msaliti kwa kukataa kumpokea lowasa........ Za kuambiwa changanya na zako.Aliyeuza chadema ni Dj
Kama wewe ni over 28yrs Basi umeshikiwa akili .... Kama ni below 28 sikulaumu huna unachojua na sio lazima upostHuyu Mzee aliyesaliti Upinzani akahongwa Ubalozi.
Huioni hoja yangu?Kama wewe ni over 28yrs Basi umeshikiwa akili .... Kama ni below 28 sikulaumu huna unachojua na sio lazima upost
Kwahiyo wewe unapendekeza je?Katika kufanya kwangu kazi na taasisi za kimataifa nimegundu mengi sana.
Hili la DP World ingekuwa ni Mzungu angekuwa ameshaachana nalo, ila mwarabu ni kasheshe, King'ang'anizi mno.
Na Mwanarabu akitia guu hapo bandarinin, tutapoteana.