Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.
Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?
Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?
Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?
Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.
Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Nawaalika Watanzania bara wote ku sign petition ya kuzuia uovu huu sasa;