Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Naombeni mnisaidie Kwani hao waendeshaji wa awali kina TICS sijui walikuwa na udhaifu gani mpaka kumpa Mwarabua au tumechukua mkopo huko tumeshindwa kulipa kama Sri Lanka?

Au kuna mtu anatengeneza mfereji wa 10% ili kizazi chake kiendelee kula keki ya taifa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hii Nchi itakuwa Raia wake tumerogwa, yaani Viongozi wanafanya mambo ya kutuumiza alafu raia wake tumekaa kimya tu.

Ila ngoja hiki Kizazi cha hawa Wazee kifutikez huenda tukawa na mwanzo mpya kufikia 2040
Duh..
 
Inawezekena Watanzania ndi Nchi inayoongoza kwa kuwa na Wajinga kuliko Nchi yeyote Duniani aisee pana vitu ukivisikia akili ndogo inakataa kuwa hicho kitu hakiwezekani ila baadae utasikia kweli...
Tutafakari
 
Hakika Watanzania tumerogwa, Viongozi wanatuchezea watakavyo alafu tumetulia tu [emoji119]
Maandamano yakianzishwa, wavaa nguo za mabaka baka wanasema watapiga watu na kuvunja miguu,

Sasa nani anataka ulemavu wa ukubwanii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maandamano yakianzishwa, wavaa nguo za mabaka baka wanasema watapiga watu na kuvunja miguu,

Sasa nani anataka ulemavu wa ukubwanii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utasema wao (Maaskari) wameridhika na huu wizi unaofanywa na watawala.

Hakika Tumelaaniwa
 
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.

Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?

Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?

Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?

Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.

Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Kwanini wanauza vya Tanganyika tu ?
 
Watz tulieni dawa iwaingie

Mlimtukana Magufuli leo mnamlilia
Na mkizubaa mtauzwa wote 😀
 
Back
Top Bottom