Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
- #201
Shehe unawajua waarabu?Ukitaka usiwe na stress katika hii dunia, ni kuachana na mambo ya siasa; hakuna namna,maisha mafupi, stress za nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shehe unawajua waarabu?Ukitaka usiwe na stress katika hii dunia, ni kuachana na mambo ya siasa; hakuna namna,maisha mafupi, stress za nini.
😂 Mzee DP WorldMambo km haya ndo maana Kagame alimtukana Yule Mzee Nan?
Shida sio kubinafsisha..shida ni masharti ya mkataba...niambie huu mkataba mpya uta expire lini?Bandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Watu wengi wamekubali uongo wa serikali kufananisha mkataba huu na mikataba ya zamaniShida sio kubinafsisha..shida ni masharti ya mkataba...niambie huu mkataba mpya uta expire lini?