Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Mimi naona tuu watu wakiandika andika ila sijaona tamko la Serikali kuhusu hili maana sitegemei kwa Nchi kama Tanzania kuamua kitu cha kijinga namna hiyo na kama ni kweli waliohusika wote wachunguzwe pana mambo ya rushwa kubwa kubwa hapo sio bure...sitegemei kama hicho kitu ni kweli wakeamua watu na akili zao Tomamu kabisaa...
Bunge limepitisha Jana kwa kauli moja na hivikaribuni mabeberu wanashikilia bandari.Hii nchi hii 😭😭😭😭😭
 
Hii Nchi itakuwa Raia wake tumerogwa, yaani Viongozi wanafanya mambo ya kutuumiza alafu raia wake tumekaa kimya tu.

Ila ngoja hiki Kizazi cha hawa Wazee kifutikez huenda tukawa na mwanzo mpya kufikia 2040
Hata 2040 hatutakuwa na mawazo mapya,watoto walioko shule wanachora zombies kwenye mitihani😭😭😭😭
 
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.

Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?

Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?

Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?

Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.

Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Ndugu yangu,ukisikia "Sikio la kufa halisikii dawa",ndio hii sasa.
 
Mimi naona tuu watu wakiandika andika ila sijaona tamko la Serikali kuhusu hili maana sitegemei kwa Nchi kama Tanzania kuamua kitu cha kijinga namna hiyo na kama ni kweli waliohusika wote wachunguzwe pana mambo ya rushwa kubwa kubwa hapo sio bure...sitegemei kama hicho kitu ni kweli wakeamua watu na akili zao Tomamu kabisaa...
Jana Bunge limeridhia azimio hilo.Tz kubwa jinga.
 
Bunge limepitisha Jana kwa kauli moja na hivikaribuni mabeberu wanashikilia bandari.Hii nchi hii 😭😭😭😭😭
Ni beberu mmoja anafanya hii kazi kwa kujifunika majani Kama ni waarabu kumbe sio...
 
Naombeni mnisaidie Kwani hao waendeshaji wa awali kina TICS sijui walikuwa na udhaifu gani mpaka kumpa Mwarabua au tumechukua mkopo huko tumeshindwa kulipa kama Sri Lanka?

Au kuna mtu anatengeneza mfereji wa 10% ili kizazi chake kiendelee kula keki ya taifa?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
10% hio sio kitu ya kuuliza kwa viongozi wetu mkuu
 
Mimi naona tuu watu wakiandika andika ila sijaona tamko la Serikali kuhusu hili maana sitegemei kwa Nchi kama Tanzania kuamua kitu cha kijinga namna hiyo na kama ni kweli waliohusika wote wachunguzwe pana mambo ya rushwa kubwa kubwa hapo sio bure...sitegemei kama hicho kitu ni kweli wakeamua watu na akili zao Tomamu kabisaa...
Ushaamini au bado. Jana nimekaa kuanzia saa 3 mpaka saa 9 kuangalia ujinga mkubwa niliowahi kushuhudia maisha mwangu.

Ujinga uliokuwa unanukia rushwa tupu mpaka baada ya hapo nikamuomba Mungu msamaha kwa kuuchezea muda wangu ni bora ningetembelea hospitali kuwafariji wagonjwa.
 
Mkuu hao jamaa ni kampuni ya wahuni tuu wana ofisi mitaa fulani nami huwa napakia na kutunza mizigo hapo wao wamechukua jengo lote na lengo lao ilikua ni kuikamata Durban port ila wamepigwa chini wakapewa bandari kavu Komatiport kwa ajili ya mizigo inayopelekwa Msumbiji...
 
Mimi huwa sifatilii huo ujinga najua ntaendelea kuumia kwa ujinga unaoendelea unaona kabisa wamejipanga kudanganya watu kwa maslahi yao binafsi...
 
Well say ni kwamba mkataba uko na vipengele saba ambavyo vikubwa ikuu ni vitatu which is development, management and operation kwa wanavyo tuaminisha ni kwamba apo kila kipengele kinajitegemea kwamba kama waarabu hawato ridhia kati ya kimoja wapo watampa mtu mwingine kitu ambacho hata kwa akili ya ufikilio mdogo sioni kama kina mantiki [emoji849]
 
Bandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Wadau humu wapenda nchi iendeshwe kama 1960s saiv tunataka pesa.kam ni kuficha silah zitapita hata Tanga uko au mtwara kwam bandar ipo moja kaka
 
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.

Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?

Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?

Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?

Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.

Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Wadau humu wapenda nchi iendeshwe kama 1960s saiv tunataka pesa.kam ni kuficha silah zitapita hata Tanga uko au mtwara kwam bandar ipo moja kaka
 
Mkuu hao jamaa ni kampuni ya wahuni tuu wana ofisi mitaa fulani nami huwa napakia na kutunza mizigo hapo wao wamechukua jengo lote na lengo lao ilikua ni kuikamata Durban port ila wamepigwa chini wakapewa bandari kavu Komatiport kwa ajili ya mizigo inayopelekwa Msumbiji...
Ndio wakishirikiana na wahuni wenzao wa pale Dodoma wametuingiza kwenye matatizo makubwa ya vizazi na vizazi
 
Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.

Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?

Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?

Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?

Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.

Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Kila kampuni inayoendeshwa na selikali kika mwaka yana tangwa madudu mi naona saw as long as tunapata faida.
 
Taifa limepata Rais bomu kuwahi kutokea tangu dunia iubwe.
Mama wa watu amepata deal ameamua kuweka public mkataba kabla ya kusaini bado wabongo matusi kibao.shida nini kuwashilikisha au?
 
Back
Top Bottom