Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmesha uzwa.Ngoja tuone...
Hamuwezi kuyafanyia kazi nyie mapungufu hata mpewe miak 1000Naomba kufahamu kwani wamekodisha bandari zote? Na kingine vipi silaha zetu zotena na mambo mengine lazma yapitie dar es salaam pekeyake........ bado siungi mkono ukodishwaji wa bandari yetu kama kulikuwa na mapungufu nivema tukaya fanyia kazi ..... naomba kueleweshwa hapa
Ustaarabu upi ? Huo wa kujilipua mabomu ili mpate mabikra akhera ?Tunaelewa sana tunachokisoma na tunaelewa sana hizi ni chuki za kibaguzi tu, hakuna zaidi. Hata kauli zako hazijifichi.
Wewe hivyo viatu vyako bila Salim Ahmed Salim kuruhusu mitumba ungekuwa unapekuwa mpaka leo.
"Wavaa kobazi" ndiyo waliokuletea ustaarabu ambao unakushinda mpaka leo hii.
Usisahau hilo.
Usithubutu, utakufa ni hakika hao watu hawana utu mbele ya madaraka yaoHakuna Serikali inaweza kuua Raia wake wengi kwa mara moja, imagine wameandamana Wananchi laki 2 hapa DSm unadhani Serikali itaweza kuwapiga wote Risasi
Hapo ni uthubutu tu
Hili suala Magu alilifafanua sana, alafu huyu mama anajitia upofu.Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.
Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?
Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?
Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?
Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.
Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Jamani😞Atajulia wapi?🤣 Ye anajua kutoa hela za magoli ya mama🏊🏄
Ngoja tuone mwisho wake.Hili suala Magu alilifafanua sana, alafu huyu mama anajitia upofu.
Acha kusingizia na kufikiria kutumia akili ndogo. Umeambiwa hayo ni makubaliano na siyo ya kila kitu, vitu vyetu vitapitia njia salama kabisa. Acheni kumsumbua MamaUzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.
Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?
Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?
Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?
Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.
Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Kwa maovu yakeMtanikumbuka
Kama Jiwe aliwahi kuwa Rais, kipi cha ajabu?Taifa limepata Rais bomu kuwahi kutokea tangu dunia iubwe.
Hakuna sheria inayozuia raia wa Tanzania kuhama nchi, nenda Burundi mkuuHakuna faida yeyote.
Baada ya Nyerere walibinafsisha kila kitu tumebakia maskini mpaka sasa.
Rais nchi imemshinda anatamani kubinafsisha kila kitu mpaka raia wake ila sio cheo chake.
Jiwe alikuwa ni tatizo kubwa nchiniAliyokataa JPM kuhusu bandari ya Bagamoyo.
Umefikiria kienyeji sana,hivi umewahi ona pesa zinaposafirishwa si ndio? Huwa zinapekuliwa? Huwa unajua kiasi? Ila unajua ni msafara wa pesa bila shaka..Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia.
Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari?
Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi wake, huoni utakuwa unatoa siri za uwezo wa jeshi lako bila kujua?
Huoni utawaanikia magaidi taarifa zako muhimu? Unakodisha vipi kitovu cha uchumi wako?
Kuna mikataba mingine hayati JPM alisema inaweza kusainiwa na vichaa tu.
Nimekwambia kwa nia njema kabla hayajakufika.
Atajulia wapi?[emoji1787] Ye anajua kutoa hela za magoli ya mama[emoji474][emoji475]
We kibibi ukaage siku zingine utulie usome tu.Huo mkataba wa kuuzwa Tanganyika uko wapi?