Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Pimbi wa msoga nyie, mnapenda vya bure mtaolewa
Waarabu watatubaka vibaya sana. Kwa kisayansi kabisa kihongozi wa dini ya kiislamu wa Tanzania (ila sio Africa Magharibi) akiongea MUARABU basi mkund u mavi yanasogea mlangoni na hutaman kifuro tu. Hii ni sayansi, hata mkatae ni ukweli
 
Mtu kama rais akiona janja janja nyingi kama kweli ana dhamira ya kukomesha janja janja kinachotakiwa ni kutunga Sheria inayoweza kukomesha janja janja hizo na siyo kulikimbia tatizo
Janja janga piga mvua kuanzi miaka thelathini au kunyonga kwa maslahi ya Taifa
 
Yan kila siku tunasemaga CCM ni mazuzu huwa hamwelewi, Jaman ccm majizi, maselfish, mambumbumbu na kila aina ya takataka tanzania ni wao, Ivi umeahawah kusikia wapi mkataba kama ule?
 
Hapa naona Al-Shababu wanachelea tu.
Mlango unakuwa wazi kwao sasa kufanya yao.
 
Mimi binafsi nampongeza rais kwa kuwakodishia bandari wabia wengine.
Bandari pengine inaleta faida kidogo sana na janja janja zimekuwa nyingi mno.
Mheshimiwa rais angalia na namna ya kubinafsisha mashirika mengine kama vile tanesco na mashirika ya maji. Mashirika haya yamefanya kazi kwa kusua sua sanahuku baadhi wa watu wachache wakijilimbikizia mali. Ikiwezekana binafsisha hata taasisi ya Elimu.

Hayo mnayoyasema yakibinafsishwa, ninyi mtakifunza lini kuendesha
 
Bandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Waache wabwabwaje mkuu!
 
Wazee wa miaka 60+ wana waamulia Watoto wenu kwa miaka 99 ijayo, ina maana Bandari yetu itachukuliwa chini ya hao Wageni hadi 2122, ambao wote humu tutakuwa Makaburi ikiwemo na aliyeuza.

Hizi ni athari za kutokuwa na Viongozi Wazalendo, wanajifikiria wao tu
Acheni kuwasingizia wazee! 2020 tulipokuwa tunapiga kura vijana mlikuwa wapi? 2020 wakati Magu anaiba kura vijana mlikuwa wapi? Kwa hiyo tulieni kabisa maana hata ndiyo madhara ya ujinga wenu kukimbia sanduku la kura! Wabinafsishe tu!
 
DP world ni kampuni kongwe kwenye sekta ya bandari duniani..,ilishaoperate hata baadhi ya bandari ndani ya ardhi ya USA..

Sijui mpaka sass kama bado wanaendelea baada ya amendment ya kiusalama kupelekwa kwenye bunge Ili Dp world inyang'anywe zile bandari 3 iliyokuwa ikiziendesha...

In short Kwa upigagaji ulioko kwenye bandari yetu....na urasimu usio na maana....

Ni mara mia kuipa tenda Dp world...

Baadhi ya wanasiasa wanaopiga piga kelele....

Wana maslahi binafsii Moja Kwa Moja kupitia kampuni walizonazo zinazobond na bandari Moja kwa moja.....

Huu ukweli hausemwi!....

Tutapata mapato pengine mara 3 zaidi!...ya kile bandari inachoingiza sasa....huu ni ukweli mchungu....

Baadhi ya wanasiasa wanaoikataa Dp world....

wanatumia nguvu kubwa kwa kuwa ukweli ni kwamba mirija yao itakuwa imekatwa RASMI!

Na hichi kitu watakipinga kwa jasho na damu Hadi tone la mwisho ....
 
Na hichi kitu watakipinga kwa jasho na damu Hadi tone la mwisho ...
 
Watanzania tuache undundu, hivi unafikri vifaa vya kijeshi vinashushwa pale bandarini utasogeza hata pua yako pale? Sina hakika kama tuna jeshi dhaifu kiasi hicho!
 
Watanzania tuache undundu, hivi unafikri vifaa vya kijeshi vinashushwa pale bandarini utasogeza hata pua yako pale? Sina hakika kama tuna jeshi dhaifu kiasi hicho!
Unajua utaratibu wa kupakua vifaa?
 
Kuna vitu vinaendelea hakuna mwenye akili timamu anaweza fanya
 
Back
Top Bottom