FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tunaelewa sana tunachokisoma na tunaelewa sana hizi ni chuki za kibaguzi tu, hakuna zaidi. Hata kauli zako hazijifichi.Soma uelewe wewe mvaa makobazi
Wewe hivyo viatu vyako bila Salim Ahmed Salim kuruhusu mitumba ungekuwa unapekuwa mpaka leo.
"Wavaa kobazi" ndiyo waliokuletea ustaarabu ambao unakushinda mpaka leo hii.
Usisahau hilo.