figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mbogamboga watakuja kwa kasi, kuja kusema anaupiga mwingi! Ni nani aliyeturogaKishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua.
View attachment 2179355
Acheni kupamba watu wasiohusika, ukarabati wa pale TPA ulianza muda Sana mwishoni mwa JK na Magu akapokea malengo yakiwa ndio haya ya meli kubwa kutia nanga na kuchochea uchumi na hata wakuu wa bandari by then walipita wengine sio huyu wa Jana eric...au labda kakutuma umfanyie branding?Frontier Ace, Meli kubwa kabisa ya Magari kuwahi kutia nanga Bandari ya Dar Es Salaam kesho Ijumaa tarehe 8/04/2022 itaandika historia, itakapotia nanga Bandari ya Dar Es Salaam mapema asbh, moja kwa moja kutoka Japan.
Hii ni kutokana na maboresho makubwa kabisa ya miundombinu yaliyofanywa katika bandari za Tanzania, na hususani Bandari Kuu ya Dar Es Salaam hivyo kuwezesha Meli kubwa kama Frontier Ace kutia nanga kwa Usalama kabisa bila shida yoyote.
Heshima kwa DG Eric Hamissi kwa bidii ya kazi na kufanya kazi bila makeke yoyote.
Hongera sana Mama Samia kwa kuiunga Mkono Menejimenti ya TPA kupitia uwekezaji wa miundombinu na ununuzi wa vifaa hivyo kuwezesha Bandari yetu kuaminiwa
Karibu Tanzania FRONTIER ACE
Kazi Iendelee
View attachment 2179435
Ndio na location ni hapo Lumumba,kigezo uwe na kadi ya Chama tuu.Hayo magari yatagawiwa bure?
Akili za kilumumba lumumba hizi. Bure kabisaFrontier Ace, Meli kubwa kabisa ya Magari kuwahi kutia nanga Bandari ya Dar Es Salaam kesho Ijumaa tarehe 8/04/2022 itaandika historia, itakapotia nanga Bandari ya Dar Es Salaam mapema asbh, moja kwa moja kutoka Japan.
Hii ni kutokana na maboresho makubwa kabisa ya miundombinu yaliyofanywa katika bandari za Tanzania, na hususani Bandari Kuu ya Dar Es Salaam hivyo kuwezesha Meli kubwa kama Frontier Ace kutia nanga kwa Usalama kabisa bila shida yoyote.
Heshima kwa DG Eric Hamissi kwa bidii ya kazi na kufanya kazi bila makeke yoyote.
Hongera sana Mama Samia kwa kuiunga Mkono Menejimenti ya TPA kupitia uwekezaji wa miundombinu na ununuzi wa vifaa hivyo kuwezesha Bandari yetu kuaminiwa
Karibu Tanzania FRONTIER ACE
Kazi Iendelee
View attachment 2179435
Hayo magari yatagawiwa bure?
HONGERA CHAWA the great kwa UPUUZI, hivi hujui habari ya vifaa, vitu kupanda bei, UJIO wa meli ya Magari una maana gani? Huku bei ya mafuta pasha kichwa, hongera kwa kuchagua UJINGA....πππ¬π¬ππFrontier Ace, Meli kubwa kabisa ya Magari kuwahi kutia nanga Bandari ya Dar Es Salaam kesho Ijumaa tarehe 8/04/2022 itaandika historia, itakapotia nanga Bandari ya Dar Es Salaam mapema asbh, moja kwa moja kutoka Japan.
Hii ni kutokana na maboresho makubwa kabisa ya miundombinu yaliyofanywa katika bandari za Tanzania, na hususani Bandari Kuu ya Dar Es Salaam hivyo kuwezesha Meli kubwa kama Frontier Ace kutia nanga kwa Usalama kabisa bila shida yoyote.
Heshima kwa DG Eric Hamissi kwa bidii ya kazi na kufanya kazi bila makeke yoyote.
Hongera sana Mama Samia kwa kuiunga Mkono Menejimenti ya TPA kupitia uwekezaji wa miundombinu na ununuzi wa vifaa hivyo kuwezesha Bandari yetu kuaminiwa
Karibu Tanzania FRONTIER ACE
Kazi Iendelee
View attachment 2179435
Shangaa na wewe bwashe; utafikiri hayo magari yatarudishia nchi ktk uchumi wa kati chini.Hayo magari yatagawiwa bure?
Wajinga wanaupiga mwingi kwa kusifia. Hata wakijamba....Jamani nchi hii hata meli kuja tunasifia
Jipange bwashee uagize gari yako ya 3Hayo magari yatagawiwa bure?