Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

Mkuu shukrani kwa maoni yako
 
Sasa hongera ya nini unafurahia imports ? Yaani nchi hii watu ni wajinga hadi wanakera, ingekuwa inakuja kuchukuwa exports na kuondoka imejaa bidhaa zetu hapo kungekuwa na cha kufurahia, sasa unafurahia imports ??? Unafurahia meli inayoleta bidhaa za nchi nyingine na kuondoka tupu ?
 
Hii meli haijaletwa na CCM ieleweke hivyo
 
Alianza Kikwete,Magufuli akamalizia,huyo Eric ni wa jana tu
 
Shukrani kwa aliefanya ukarabati na upanuzi wa hio bandari ku accomodate ma meli makubwa...he had vision ambayo wengine wanaitembelea km Nyota yao...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua.
View attachment 2179355

Ushauri TPA habari zao mbali ya kutumia lugha ya kiSwahili pia wawakumbuke wateja wakimataifa wanaotumia lugha za kiEnglish na kiFaransa maana inahudumia nchi jirani za Zimbabwe, Malawi, Zambia, DR Congo, Burundi na Rwanda pia ikiwa kweli TPA imepania kushindana na bandari zingine za Kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki.

Kitengo cha mawasiliano kwa umma na masoko cha TPA wajiongeze kukabiliana na ushindani kimataifa kwa kila mbinu ikiwemo matumizi ya lugha kubwa za kimataifa ktk platform zote za media na ICT.
 
The current position of FRONTIER ACE is in Malacca Strait with coordinates 1.30665° / 103.33542° as reported on 2022-03-29 05:18 by AIS to our vessel tracker app. The vessel's current speed is 18 Knots and is heading at the port of DAR ES SALAAM. The estimated time of arrival as calculated by MyShipTracking vessel tracking app is 2022-04-07 17:53

© marinetraffic.com
NameFRONTIER ACE
Flag Panama
MMSI352283000
IMO9209271
Call SignH3CM
TypeVehicles Carrier
Size190 x 32 m
Speed AVG/MAX---
Draught AVG---
GRT52,276 Tons
DWT17,693 Tons
Owner---
Build2000 ( 22 years old )
 
Huyu muanzisha uzi mshamba sana...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Bandari yenyewe kwa sasa 8nafanya kazi very slowly acha tuu mombasa kutoa mzigo kwa sasa ni siku 28 napa kwetu kwa sasa miezi 2 na point sijui kama kuna mizigo ya East Africa country inyopitisha mizigo bandari ya Dar es salaam kwa sasa naona Mombasa kwa sasa imeshika hatamu
 

Chawa pro max hivi mnalishwaga nini kujikomba komba kwa watu ivo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitakuwepo hapo kusaidia Kaz ndogndogo au vip mleta mada
 
Hayo Magari yanakuja kuongeza changamoto ya mafuta tu, yaliyopo tu hayatoshi 😡😡😡😡
 

Tunamshuru Rais Samia kwa kutuletea meli kubwa
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…