Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

Waswahili ni watu wa ajabu ajabu sana!
Tulitarajia ulete habari kama hii:
" Hatimaye TPA kuingiza mapato ya Trilioni mbili kwa mwezi! Bei ya petroli sasa kuwa buku jero kwa lita!"
"Kazi iendelee!!"
 
Hapo umesifia wee, Ila mama Samia mwenyewe anasema bandari Kuna matatizo kuliko kawaida na anasema Bora watafute mbia
 
HONGERA CHAWA the great kwa UPUUZI, hivi hujui habari ya vifaa, vitu kupanda bei, UJIO wa meli ya Magari una maana gani? Huku bei ya mafuta pasha kichwa, hongera kwa kuchagua UJINGA....😃😃😬😬😆😆
DG Eric hahusiki na mfumuko wa bei; hayo ni mambo ya Waziri wa Fedha
 
Sasa tusifie wasiokuwepo? Aliyepo ndo anafanya kazi
 
Hii kwa kiwango kikubwa ilikuwa maono na kati ya vipaumbele vya magufuli.. credits nying kwake tusiwe wanafki
 
Wanasema ukarabati ulianza wakati wa JK magu ameendeleza kiufupi maamuzi bora ktk hili yalifanywa na JK!
 
Mkuu hili.la malori ya transit kiukweli nimewah kuketi na madereva kadhaa wana ipongeza Tz sana wana sema sasa iv hakuna usumbufu as long as ukitii sheria ya barabaran ....
 
Hayo maboresho kafanya huyo Hamis peke yake??? Kwa pesa zake??? Kwanza lini kamaliza lini??
 
Pale kivukoni kuna kina kirefuuu.
Ukizama Kama haujui kuogelea safari
 
Hongera kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano was Tz...Hongera kwa WaTanzania wote tuliowezesha huu mradi tokea awamu ya JK,JPM na SSH kwa kuendelea kulipa kodi ambayo imesababisha Bandari hii kupanuliwa na kuongezewa uwezo...
WaTanzania wengi uwezo wetu mdogo sana wakufikiri watu umu wamasema itatusaidia nini ebooo.... Huu ndo uwekezaji ambao tunauongelea bila vyanzo vya uhakia serikali itaendelea kutunyonya kwamakodi hadi basi... Imagine ayo magari 4000+ ni ya Burundi,Rwanda,DRC na Malawi unnafikiri tunapata kodi tena kwa fedha za kigeni shiling ngapi? JF ina watu waajabu sana ebu fikiria mzigo wote huu ungepita Msumbiji tungepitoza shilingi ngapi? Bila uwekezaji kama huu basi tutaendelea kukamuliwa mpaka damu maana serikali lazima ipate kodi kupitia sisi... Ayo Magari mpaka yanafika nchi zao unafikiri yatakua yame refuel Lita ngapi za Petrol/ diesel? Na apo wafanyabiashara mafuta yao yakiisha sindowanaagiza mengine haraka na serikali inapata mapato yake haraka... Tusiwe watu wa kupingapinga kila kitu Hii habari wakiisikia Kenya Mombasa wanaumia... Serikali iendelee kuboresha Bandari ya Tanga na Ntwara kwa haraka sana.... Kama serikali ingeacha masifa ya kununua mindege ambayo haina Tija kwetu na hizo fedha ingepeleka kwenye uwekezaji wa Bandari za Dar/Mtwara/Tanga Leo tungekua ni wakubwa sana kwenye kuingiza mapato sana na uchumi wetu uenda ungekua vizuri sana
 
Sina hofu, nashangaa, unapotoa pongezi Kwa mtu aliyepokea mradi , kuna watangulizi wake. nao waliofanya kazi, hii tabia ya kumpongeza viongozi wakati ni wajibu wao siyo fadhila, sijui itakoma lini!?
 
Sina hofu, nashangaa, unapotoa pongezi Kwa mtu aliyepokea mradi , kuna watangulizi wake. nao waliofanya kazi, hii tabia ya kumpongeza viongozi wakati ni wajibu wao siyo fadhila, sijui itakoma lini!?
Tuliaa, usihofu
 
Hayo marekebisho hayajafanyika jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si hilo tu bali hata fedha ni WBank wametoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…